Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
mwenye kujua nifanye nini kuondoa tatizo la mistari midogo midogo nyeusi kwenye kioo cha simu,tatizo limetokea jana msaada wakuu
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Having more choices is not always a good thing. Take tablets for example: When you could only buy the Apple iPad, it was a clear-cut decision. Now that there are numerous brands, different sizes...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza blog na maelezo ya gharama nitakazolipia wakati natumia blog yangu.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jaman mwenye mchango wowote kuhusu suala hili tafadhali. . middlebopper natanguliza
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hiki kipando nishakifuta hivyo wenye kupata wapate na wenye kukosa wakose KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Hello Friends today am Gonna show a small Trick by using notepad Which can convert text to audio with just by a click. 1)Open Notepad and copy/paste the below code Dim msg, sapi...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF? Kwa wale wataalamu wetu ninaomba ushauri. Nina Dell E1911 19inch monitor amabyo nilinunua hivi karibuni. Nilipata Windows 8.1 Enterprise kutoka JF Store nikafanya clean...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naombeni msaada, niliwai kutengeneza magazines ikawa nzuri tu nilitumia program ya adobe Indesign. lakin sasa hiv nataka nitengeneze magazeti kama aya ya Nipashe, Majira, Kiu, etc. Nauliza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Mnato Jinsi ya kufuta kila kitu kwenye computer yako zikiwemo picha za uchi Kuna watu wamekuwa wakipata hasara katika makampuni yao au hata watu binafsi kutokana na kuuza kompyuta zao kwa watu...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
WAKUU hii whatsapp yangu kwenye pc tokea jana haifanyi kazi yani kama network yake imekata...nini tatizo mwenye maujanja anipunguzie nitatue hili jambo
0 Reactions
19 Replies
2K Views
je ntapata wapi hyo Nokia e55 mpya na bei gani? colour (black)
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Kwa kutambua umaarufu na umuhimu wa lugha ya Kiswahili duniani,Microsoft wametoa pack ya Kiswahili kwa ajili ya Widows 7 na Microsoft Office. Pack hii inapatikana online na zaidi ya yote ni...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Pata taarifa mbalimbali kutoka magazetini kila siku kwenye simu yako. program hii ni bure ipate ewebtz APPS - JamboTZ
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Nahangaika kupata softcopies za vitabu vya kitaaluma ambavyo vitanisaidia kwa namna moja au nyingine.Nimeingia websites mbalimbali lakini vingi vizuri ni vya kununua.Kama unajua site ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
The tablet wars are heating up and how! On Thursday night, Amazon released two new tablets, the Kindle Fire HD in two sizes and a new version of the Kindle e-reader. Here are the technical...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani i'm really in need of unlocking dis 4n coz nina cosa many cool stufs but for dos who didn't understand z dat it has not blocked z dat i think proffessinals understands.
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Samsung galaxy tab stuck on a Samsung logo after trying to enable voice calling, I used the Odin3 trying to recover it but doesn't work. Any help... Thanks
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dear all, I'm honored to announce Our Training Classes that will be training All people Interested In software Development with different Languages. The Classes will be conducted Live for each...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nina simu ya samsung galax s4.. hii simu tangu naanza kutumia huwa inapata moto sana hasa wakati na browse kwenye net ns wakati naongea sijui kams nikawaida au ni tatizo la kiufundi naombeni...
0 Reactions
5 Replies
911 Views
NASA: Ancient Martian lake may have supported life By ALICIA CHANG 11 hours ago 0 shares...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Back
Top Bottom