Nina samsung usb flash 8gb! ila tatzo kubwa ni kuwa ipo kwenye write protection mode! nishajaribu kuondoa write protection mpaka kwa kutumia disk part command ila bado tatzo linaexist!
kama kuna...
Habari
Natumia hp G62 laptop na huawei E173 modem mtandao wa airtel shida ni kila nikiconnect hiyo modem ndo kustuck kunaanza, ikiwa disconnected hamna shida kabisa. Naomba ushauri wa utatuzi wa...
NASA's Johnson Space Center has finally unveiled Valkyrie, its "superhero robot" entry to the DARPA Robotics Challenge (DRC) Trials, which take place on December 20 in Florida.
Valkyrie will...
Habari wandugu. Nimenunua Dish na king'amuzi cha Dstv na ninatumia kwa wiki sasa. Lakini kuanzia jana, remote yangu ghafra tu ikawa haifanyi kazi. Yaani ukibonnyeza key yyt inawaka taa tu na...
Is this true for the samsung galaxy s4, Burning of the charging Unit and exploding batteries.
also you can watch video here Samsung Galaxy S4 Catches on Fire, Samsung wants Silence?! - mobile9
Katika hii video,nimetumia Adobe AE CS5.Effects nilizo apply ni Light Layer,Shatter,Lens Flare na Ramp.Najua mabingwa tupo wengi wa haya mambo so napenda ku-share nanyi mawili matatu.je nimejaribu...
wakuu nina office yangu ya internet cafe & stationery...ukubwa wa office ni 7m x 5m.. naombeni ushauri wa wapi ntapata aina nzuri ya air condition ninayopaswa kununua kwa ajili ya ofisi yangu na...
Kuuliza sio ujinga jamani ila hii mambo imenitoa kijasho! mwanzon nilikuwa natumia windows 7 na niliweza ku-capture screen yangu simply kwa kubofya Ctrl+PrntScr lakini hii shortcut kwenye wondows...
wataalam habari za asubuhi,juzi nimenunua humax free hd mpeg4 receiver,na nina dish la futi sita Eurostar,nataka kuipata yahsat ndugu zangu,kuna yeyote aliyewahi kuipata kwa hapa dar?msaada...
Naomba msaada wenu wakuu, nlikuwa nasikiliza muzik katika radio kutoka katika laptop, nkauchomoa wire wa speaker kwa ghafla toka katika laptop sasa kilichojiri ni kuwa speaker za laptop hazitoi...
Wadau naomba msaada siku ya pili sasa simu yangu ya Blackberry Bold 9700 imegoma kuwaka. ina initialize vizuri inapofika kwenye kuwaka inagoma inarudi mwanzo, mwendo ndo umekuwa huo. je niitupe au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.