wakuu nimekutana na website hii hapa AllDebrid: High quality unrestrained downloader, universal access, maximum connection speed. ukiwa premium kwao ndio unapata kudownload as premium kutoka...
wanajamvi, hii software inanibore kwanza nililazimishwa tu nikajikuta iko kwenye galaxy yangu worse enough ina install na ku update vitu nsivyovitaka its like a controlled freak acts on its own...
Katika harakati na pita pita na majadiliano katika forum flani ya US/UK nikakukana na hili
[/quote]
Asilimia kubwa sana ya nchi zilizo endelea wana 100mbps/50mbps download/upload ambayo ni 100$...
Habari jamvini? Natumia simu aina ya Samsung Galaxy Grand. Kuanzia juzi JF App haifunguki kabisa. Nimejaribu mara kadhaa kui-uninstall na kui-install tena lakini imeshindikana. Naomba maelekezo...
Why is google an essentially software company acquiring a robotics company ? (essentially a hardware company) BBC News - Google buys military robot-maker Boston Dynamics
wanajf kwa wema wenu bsara zenu na upendo wenu tafadhari naomba mwenye serial no ya idm yaani intrnent down loaderaniwekee hapa au anitumia kwenye email yangu nsangupaul@gmail.com kwa kweli...
Nimekua nikitatua mambo mengi yalionitatiza kupitia hapa nikapata ufumbuzi sahihi, leo pia nina hili,,,, WAKUU laptop yangu kila nikichat kuna batan hazitoi herufi zinatoa namba nashindwa...
habari wadau
Naomba mnijuze,ni kawaida kwa laptop kutoa upepo fulani upande wa kushoto?nina laptop yangu inafanya hivyo baada ya muda inatulia.na sababu ni nini?
Asanteni.
Hi Guys. Recently one of my Friend saw a notification on his Laptop that his Drive is Running on a Low Disk Space.
He checked his downloads because he didn't downloaded any Large File recently...
Heshima kwenu wadau,naomben msaada laptop yangu nimewapa vijana wafanyie mazoez kwa ajili ya kujifunza,kilichotokea nilitaka kuitumia nilivoiwasha ikawaka lakin ikadsplay rangi ya zambarau...
pleasa experts naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha mobile phone na VPN ili internet isizingue.
username,password.na mengine yanayohitajika.nimejaribu nimeshindwa
natumia sumsung minigallaxy.x
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.