Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone’ – Rais Obama Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wadau naombeni mnisaidie jambo,Mimi natumia window 8 lakini ninapotaka kuangalia Pc information inakata na kunirudisha mwanzo na baadae nilipogundua nikakuta Product ID not available ndo...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Najua wengi wetu humu tuna pc na storage devices mara nyingi kuna vitu ambavyo tunataka viwe siri yetu peke yetu na mtu mwingine asivione kabisa mfano wa mafaile ni kama nyaraka muhimu, movies 18...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu naomba msaada na ushauri upatikanaji wa toshiba laptop kwa specification zifuatazo. RAM 4 GB PROCESSOR not less than 2.4 GhZ HARD DISK not less than 600 GB SCREEN SIZE not less than 15...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
members naomba kama kuna mtu mwenye key za folder lock anisaidie nitashukuru
0 Reactions
1 Replies
782 Views
wanajamvi naombeni msaada kwa anaeweza kunisaidia ku unlock simu ya aina ya Orange San Francisco anaweza naomba anielekeze au ani pm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni toshiba C850,3I Baada ya kuweka window 8pro wireless haifanyi kaz tena naomba nipatiwe ufumbuz. Kama ni driver nimetafuta pia net had leo zizipati za kuiamsha. Nilizoea kuconect na wi fi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello. I have a great app idea. I will pay you to develop this app for me. if your an individual or a team. Description Android Smart Phone, 5.5" Phablets, 7.0" -8.9"Tablet and 10" - 10.1"Tablet...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kwa takribani week sasa naona speed ya PD proxy inasua sua sana slow vibayaa...nimejaribu kubadili server ila wapiii..nimebadili line nayo bila bila..Tunnel guru nayo hivyo hivyo..je tatizo...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Habar wana JF? Samahan wakuu natumia laptop aina ya Toshiba satellite C855D - S5303. Tatizo lake kubwa unapoiwasha hailet ile option ya kuboot wala hakuna neno lolote linalotokea zaid ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
I Got you.......kujaribu teknolojia sio dhambi,kampeni yangu ya u smart smart naendelea nayo,sasa nina smart phone LG G2 ,now i can control my samsung TV , my smart Radio na vingine by using my...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
NImechoka kutumia Blackberry ni 8520 mtu yoyote mwenye Andoid au Nokia eseries yoyote tubadilishane mimi nipo Dar.
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Heshima kwenu wana JF, mwenye hizo activation codes pls anisaidie. Nimetafuta kwenye mtandao nimeshindwa kuzipata.
0 Reactions
0 Replies
794 Views
ni simu aina ya T-Mobile my touch 3g android version 2.2.3 tatizo lake kwa sasa Mara kwa mara inastack na ilipofikia sasa ni kujizima na kujiwasha mara kwa Mara Je inatokana na nini na suluhisho...
0 Reactions
3 Replies
855 Views
Habari za muda huu Rafiki zangu. Naomba msaada wenu jinsi ya kutumia pd proxy, ninasoma threads nyingi kuhusu hiyo progm. lakini sijafahamu kwa uzuri jinsi ya kuitumia. Natanguliza Shukran kwenu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi heshima kwenu. Naombeni msaada wenu kuna rafik yangu anataka kuniuzia samsung galaxy note 3 naomben mnielekeze jins ya kujua kama ni original ama copy. By the way ameniomba niinunue...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Wakuu hizi dekoda nimeona kuna sehem ya kuweka kadi. matumizi yake hapo huwa yakoje, naomba ufafanuzi wa kitu hii
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu waungwana naomba msaada jinsi ya kufungua local channels kwa kutumia Q11G hapo mwanzo nilikuwa nazipata hapa hapa ninapoipata ds...baada ya kuamishwa nikaenda huko zilikoamia sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
​Salute kwenu wadau, Msaada wenu unahitajika sana, Nikiri kwamba sio mtaalam sana wa haya mambo. Nina blog yangu bado ni mpya kama mwezi hivi baada ya kuifungua, kwa sasa nina experience...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Back
Top Bottom