Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu. Naomba kushare mawazo yenu juu ya wazo langu ( UTUNDU ) kuhusiana na umeme mbadala. ( Je, itafanikiwa???? Na pia Nini kitatokea kama nitafanya UTUNDU ufuatao???? ) Nina taa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jf naomba msaada wenu simu yangu Nokia X2-01 inajizima sana hasa nikiwa natumia internet je tatizo ni nini?,nifanye nini ili niondoe tatizo?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tuna unlock Smartphones zote zilizo lockiwa kwa mitandao ya nje ! Nchi yeyote ile at cheap price in town usiibiwe kutoa pesa nyingi bila sababu , kulinganisha na bei ya sehemu nyingine samsung...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nipo hapa crdb lumumba zaidi ya masaa mawili system inakuwa online ofline.last week pia nilikumbana na kimeo kama hiki,na ata mwezi uliopita.system down ni wimbo uliozoeleka hapa crdb.please...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau modem yangu niliiflash na kasoftware lakini sasa nashangaa nikiweka lain yeyote ile hata ile xa kampuni inasema Not found sasa sijui nifanyeje wajameni
0 Reactions
14 Replies
2K Views
write a program that automatic connect when internet available in java.
0 Reactions
13 Replies
972 Views
Wale wapenzi wa toys kubwa kubwa.......naomba mnieleweshe tofauti kati ya hizo engine tajwa.....na kwa nini watu wengi wapo makini sana kujiepusha na D-4.........na kuifagilia VVT-i.........?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu simu yangu ya Tecno T1 inashida ya Display, jimejitahidi kuitafuta mitaa ya K/koo sijapata. Naomba yyt anayeweza kunisaidia kuipata nitashukuru sn. Nasubiri, wadau.
0 Reactions
1 Replies
700 Views
wanandugu, nahitaji mtu wa kunitengenezea blog maana nataka kuanzisha biashara ndogo ya upigaji wa picha hasa za passport... nataka niwe naweka picha mbalimbali na some info on this blog. please...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimedownload movies kwenye kompyuta na nataka kuzicheza kwenye dvd player ya sony kupitia flash. tatizo hiyo player haichezi mp4 inacheza video clips (nafikiri ndio dvxi) pamoja na VOB. msaada please.
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Ndugu Naomba msaada wa kuifanya simu yangu kuwa fasta nikibonyeza menu ina load kwanza kuleta applications natumia HTC Desire c
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Haya vijana kwa wazee wa CG, mjiongezee mautundu, fata link: Welcome to The Computer Graphics Society
2 Reactions
7 Replies
1K Views
OK..... USHAWAHI FIKILIA UPATE SOFTWARE YENYE FUNCTIONS ZOTE ZILIZO KWENYE HIZO SOFTWARE IN ONE PACKAGE.....HEHE IST I THOUGHT IT WAS A DREAM THEN I REALIZE IT IZ TRUEEE....NO MORE TORENT NO MORE...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
'salaam salaam wakuu..................natumai mu-wazima kabisa,nna tatizo limejitokeza kwenye PC yangu nikiiwasha tu inaonesha "BLACK SCREEN" then after few seconds ina-display msg inayosema "Auto...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wanapenda kutumia VPN kwa ku access sites mbalimbali, kuna hii inaitwa Hola, ni bure na ni extension ya Chrome browser. Nimeijaribu, inafanya kazi na ni nzuri. Unaweza kuipata hapa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
DUNIA INAKWENDA KASI SANA WAPO VIDEO TUBE
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ma GT! Naomba kujuzwa kama naweza pata madhara ikiwa naangalia t.v au nasikiliza radio wakati mvua inanyesha. Naweza kuangalia kama hakuna radi???Naomba nijuzwe hili niendelee na bunge.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu? Mm nasoma computer science mwaka wa kwanza napenda saana kusoma vitu hasa vinavyo husu computer science and related issues concern cimputer, naomba kama kuna mtu ana vitabu vya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kila nikifungua tab ya jamiiforums lzm nikutane na warning message kama hii kwenye picha. Hata niki-cancel nikaendelea kutumia,after sometime ita-stuck kwa muda afu hyo msg ina-pop up tena. Tatizo...
1 Reactions
2 Replies
858 Views
wakuu kuna kirusi kimeficha mafile yangu ya muhimu niliyokua nimeweka kwenye external...yanaonekana yapo ila yamefichwa....nitumie njia gani niyapate wakuu...msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Back
Top Bottom