nina magame kama call of duty 2,pes 2010 n.k zamani yalikuwa yanachezavizuri lakini sasa ukibonyeza ili game lianze kucheza, game halifunguki na hakuna kinachotokea .naombeni msaada wakubwa
husika na heading iwe na specifications hizi..
ram 4 gb
hdd 320 nakuendelea
iwe mpya tokea kenye box.. maduka yanahitajika zaidi..
Stefano Mtangoo chief-mkwawa C6 na wengine wote..
Baada ya DPR, kijana mwenye mafanikio makubwa aliyekuwa nyuma ya Silk Road kutiwa nguvuni na polisi, sasa polisi inaelekea wanammulika kwa ukaribu sana backopy kiasi kwamba ametangaza kuifunga BMR...
Eti wakuu OS gani niweke kwenye ka pc kangu? Matumizi yangu ni ya kawaida tu kama vile kuchapa assignments zangu, kudownload vitabu(software), muziki, videos n.k. UBUNTU sijawahi kuitumia so...
Humans landed a manon the moon. Everything seemed possible then. Many years later, with all the technological and scientific advancements,man is still yet to land on mars or any other planet...
Wadau,
nataka kununua moja kati ya simu hizo mbili,iphone 5s au blackberry q 10,ipi simu nzuri hasa ukizingatia utunzaji wa chaji,applications kama jf,twitter,instagram etc?
Mwenye uzoefu na hizi...
Habar za muda huu waungwana, jaman mm mwenzenu nina tatzo na cm yang hii ya blackberry nayotumia (aina ya curve 8520) nashndwa ku-dowload app nyng ikiwemo hata ya jamiiforum na fb sabab kla...
leo naomba niwafumbue macho wale wanao tishia watu kua mutaniletea fb account yangu password kua nyinyi ni hackers halafu mtu mwenyewe programming pia hujui so make sure kwanza unajifunza...
Wakuu mwenye ujuzi jinsi ya kurudisha access kwenye local disk D naomba anielekeze. Ningeweza kuiFormat ila kuna vitu/data zangu ambazo nazihitaji.
Nikijaribu kuifungua inaleta hii msg...
Najaribu kutengeneza program ambayo itakuwa ina register watu kwa majina mawili, number za simu na kiasi cha pesa kisha inaandika hizo details kwenye document and then later inasoma hiyo document...
Habari wakuu! PC yangu inanisumbua nikichomeka modem na mouse havisomi hadi nichomoe kimojawapo, unakuta kuna ujumbe upande wa kulia kwa chini unasema.. USB can perform faster... ila cha...
napenda sana simu za samsung galaxy ingawa uwezo wa kununua sina,gharama kubwa sana tunaishia kwa mkombozi wa wanyonge tecno,huwa naishia kusoma specification zake na kuzikubali...
Kampuni ya LG ya Korea Kusini imetoa simu mpya LG G Flex zilizotengenezwa kwa material yanayoziwezesha simu hizo kurudi katika hali yake ya upya, hata baada ya kupata mikwaruzo ya kawaida ambayo...
wiki hii yote phone arena wamekua wakitoa award zao. zipo interested sababu wamejaribu kutoa kwenye maeneo tofauti.
1. best phablets
phablet ni simu zenye display zaidi ya inch 5 lakini...
[*=left]61Comments
[*=left]Facebook48
[*=left]Twitter140
[*=left]Pinterest0
[*=left]
[*=left]More
[*=left]
Could the Galaxy S5 offer a major display update over its predecessor?
(Credit...
A recent report by the AV-Test Institute, found that 66 percent of affected Windows systems are victims of malware that took advantage of exploits found in Adobe Reader, Adobe Flash, and Java.
In...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.