Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
salaam wakuu, nimeanza juzi kuicheza hii game ya top 11 ila nimetokea kuikubali sana. Its a soccer game ambayo unacheza kama manager though ni simulation only lakini you can play league with...
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Jaman natanguliza shukrani kwa msaada, plz kama kuna mtu anajua ufumbuzi wa hili tatizo...maana ninachaji siku nzima lakini inaambulia kujaa 11% nkichaji via computer ndo kidogo inafika 42% na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF, Ni wapi naweza pata speech mbalimbali za mwalimu za ku download Mp3 direct.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani naomba mnieleweshe hapa kitaa kwetu voda wameweka mnara wao je kuna madhara ya kuishi karibu na maeneo haya?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau naitaji msaada wenu nilikuwa nimeweka cmu yangu mfukoni na nikiwa bize na mishemishe ya hapa na pale ghafla nakuja kuitoa kujaribu kupiga picha. Naona camera haipo clear vision nachokiona ni...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Habari zenu wanajamvi na ma-technicians wa JF?. Ninaombeni mnisaidie. "Nitapata wapi ISO ya Windows 8.1 Pro pamoja na istallation keys?" Nitangulize shukrani kwa yeyote atakayenipatia msaada.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilijaribu kuweka Bluestacks lakini inahitaji 2GB RAM ambayo mashine yangu haina. Sasa naomba kujua kwamba ukishaweka hiyo bluestacks ni nini kingine kinachohitajika au ni kuanza kuweka applications.
1 Reactions
3 Replies
856 Views
Heshima kwenu wadau, naomba mwenye maujuzi anisaidie kuinstall gemu ya mpira(pes) kwenye pc maana nimeinstall lakini nikirun inaniambia niinsert disc. Plz help wadau
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nishindwa kuweka picha ninnapotaka kuposti humu jf hasa ninapotumia simu lkn ninapotumia computer zinakubali mwenye kujua anisaidie kwa sasa natumia samsung note 2
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Tatizo la mgawo wa umeme Solar generator hii iko poa sana kwa kuwasha Taa nne pamoja nakuchaji simu zaid ya kumi, Inawaka kwa masaa 8-12 na 2 yrs guarantee Nicheki 0719786098
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nina samsung galaxy s4,mwanzo nilikua naweza ku exchange vitu kutoka kwenye computer kwenda kwenye Cm au kwenye Cm kwenda kwenye computer,lakini kwa sasa nikichomeka waya wa Usb nashindwa ku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
An awesome christmast gift! Follow link:
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Accelerate your download speed by up to 5x faster..! for free..! Follow link: httcience.weebly.com/1/post/201faster.html
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Rear vs. Side LG’s stated reason for moving the volume and On/Off toggle to a rear array under the camera lens is to make it more natural to raise and lower the volume of conversation while...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
salaam zenu wana jf, kwa mara ya kwanza jana niliona adv itv ya kampuni ya voda ya kitu kinaitwa web box ambayo inakuwezesha kuunganishwa na internet kwa kutumia tv ya kawaida kama screen, naomba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Najua huwezi Kuamini kuwa haka ni kajisimu nkangu Aina ya Samsung galaxy duos S7562 ambaka kwa sasa nimekaweka kwenye Muonekano wa Iphone/ios7 nafurahia sana muonekano wake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niliiupgrade Gingerbread to Jelly bean kwa galaxy ace 2 bt ishu system bado nzitto japo free space ni kubwa na haina progs nyingi,,Waungwana Mnisaidie Ndiyoo,,!!
0 Reactions
4 Replies
821 Views
nimesafiri na kadi yangu ya dstv ili niendelee kutumia kifurushi changu cha premium sasa nimefail kupair ....msaada please Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu naombeni jinsi ya kufungua flash yangu. Nimeiscan ila ndio hivyo imegoma kufunguka. Solution tafadhali
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom