Jamii ya wanatech salaam! kama heading inavyojieleza hapo juu ni kuwa pindi nikipost uzi ama ku-comment uzi hapa jf enter key ya laptop yangu aina ya Toshiba inakataa kufanya kazi. Kwa kukataa...
Naomba kuuliza jamani ukiwa na simu imetoka majuu ambayo ni locked hapa bongo kuna sehemu ya ku unlocke? na ni wapi wana unlocke simu.
WMT family mobile CONCORD. Touch screen, 3G, micro SD, wi-fi...
LAPTOPS
10. Acer Aspire S7 Ultrabook
This time what Acer has brought is some durable quality in a really compact form with a gorgeous 1080p screen with touch which is perfectly suitable for...
Hello everyone. I change my radio band to USA band accidentally and now my SIM is not detecting​ the network. Is it possible to return default radio band settings without wipe? And how?
ONA MSG WALIYONITUMIA HAWA MAJAMBAZI......
"Ujumbe wa msisho toka Vodacom:
Namba 0753*******2 imeshinda zawadi! Tuma NDIO kwenda 15544 leo kupata zawadi yako kwa SMS 1 tu utakayotuma...
Wataalam wa jukwaa hii cm hapa chini ni zaidi ya Xperia M au ziko sawa? nataka kununua sasa kuna mtu kaniletea nichague
Xtouch X1 mini.
System Android 4.1
CPU MTK6572 1.2GHz Dual Core
GPU...
Ndugu wana JF;
Katika pitapita yangu nimekutana na mtu mmoja ana simu inayoitwa TENEX, ni Android phone ya kichina.
Kiukweli imenipendeza machoni, lakini sijui undani wake ukoje.
Ombi langu kwa...
Wakuu heshima mbele, nimenunua gar yangu aina ya nadia engine yake ni 3s nilikwepa kununua 4d baada ya kuambiwa zinasumbua.
TATIZO LAKE
hii gari haina muda mrefu toka niitoe bandarini just miez...
yeyote mwenye motherboard mbovu nanunua ukiwa nazo nyingi ni vizuri zaidi lakini hata ukiwa na 3 au 4 sio mbaya PM for more details or
call on 0732 928530
Wadau,
Nimekuwa natumia removable disk drive, ghafla ikapoteza mawasiliano (nikichomeka naambiwa the disk is not formatted) niki-format naambiwa 'Windows was unable to complete the format'
Je...
Habari wakuu,.
Mimi natumia simu aina ya Nokia E-71,.
Ninapoingia katika mtandao na kufungua video kwenye Link au You tube sifanikiwi badala yake napata hizi jumbe,.
1.Define your...
Ndugu, tangu Azsky G6 zimetoka wengi walio nunua wamekuwa wakilalamika na hakuna aliye enjoy huduma yao hata kwa week moja mfulululizo.
Japo wauzaji wa huku jamvini wanatushawishi na...
Hello wadau, kwa kutumia kies kwenye pc naona simu ina new firmware update. Sasa nauliza km naweza kutumia hiyo simu kama wifi hotspot ya pc at the same time niwe na_update simu. Je inawezekana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.