Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu Wadau, Naomba msaada jinsi ya kubadili software kutoka 32 bit kwenda 64 bits. The version of this file is not compartible with the version of Windows you're running. Check your...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mi nauliza tu,... kuna trick yoyote inayojulikana ambayo inaweza kuongeza speed ya internet ya voda... Kama ulishajaribu ukafanikiwa, plz tupe maujanja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele waungwana. simu ya HTC sense haitoi sauti ya ringtone wala loudspeaker. can someone do magic here?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mtu anataka kunifunga kwa ushahidi wa fb text. Wadau nisaidieni nawejaze kuhack account yake nifute huo ushahidi. Thanks.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Microsoft in 2019 [HQ] - YouTube
0 Reactions
1 Replies
603 Views
Its my pleasure to announce to you the Release Candidate of our PHP IDE, Hosanna Studio. We postponed release of beta version and kept developing it internally. And now here is the Release...
1 Reactions
5 Replies
740 Views
Habarini jamani! Napata shida kufungua doc zilizowekwa kwenye website ya wizara ya afya zilizowekwa siku za karibuni, napata ujumbe HTTP 404 Not Found. Kwa wataalam hii maana yake nini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Best Smartwatch ever - December 2013 - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NATUMIA DELL LATITUDE E5420, 4GB RAM RANING WINDOWS 8 HD GRAPHIC ZIMEKAMILIKA BUT SCREEN HAIPANUKI FUULLY, MSAADA WENYU WADAU, MY MAIL athumaniac@ymail.com :ear:nawaskiliza
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada,,,nina ka gari kangu Toyota Passo cc 1000 nataka kwenda nacho home Mwanza toka Dar kwa ajili ya kula sikukuu ya XMASS,,nauliza kama gari hii inaweza kustahimili hii safari bila...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba kueleweshwa about "Tunnel Guru" and how it works...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
nimenunua simu aina ya iphone 4S ya kichina yenye line moja anayejua namna ya kuinstol software za wasapp na instalgram asanteni
0 Reactions
8 Replies
958 Views
Habari. Nauza Samsung Galaxy Pocket yangu. Ipo Vizuri na kila kitu kipo, kwa bei ya Laki 1 na elfu 20 tu (120k). Nipo Mwanza, 0756851815.
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Wakuu nina Samsung gallaxy SII yenye android version 4.0.4 lakini haifungui m-pesa wala kujiunga na kifurushi inaload tu mpaka unachoka kuisubiria
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Recover any file accidentally deleted from your USB flash disk.. Follow link: HOW TO RECOVER ANY DELETED FILE IN A-USB FLASH DISK - --------------------------------------- HOW SCIENCE
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nimepata kaujanja haka kutoka kwa rafiki angu mmoja aliefunga ndoa na iPhones. Kumbe unawezapiga "screenshot" kwa kutumia simu hiyo hiyo ikajipiga picha yenyewe! Huenda huja nielewa! Ebu ona...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Fellas refer to this thread(https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/558049-external-hardrive-msaada-wa-haraka-jaman.html) i have been sleeplessly sleeping trying to find the...
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Naomba wana JF mnipe unloking code za modem ya HUAWEI , model 1550 IMEI yake ni 352 965 043 440 013.Asante sana.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa, nimeyengeza hiyo beat ni aina flani hivi ya KIBONGO BONGO... unaweza ukanipa comment zako kama umeielewa... mp3 na FLP zipo hapo!
1 Reactions
0 Replies
3K Views
I have a problem when updating Windows, I got error code 80072F76. Please help me to solve it. [My laptop OS is Windows 7 Professional SP 1]
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Back
Top Bottom