Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wa namna ya kuweka watermark ktk kazi nnliyoifanyia kwenye Excel 2007; ahsanteni nyote.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Megabytes, Gigabytes, Terabytes... What Are They? These terms are usually used in the world of computing to describe disk space, or data storage space, and system memory. For instance, just a...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wandugu, Jamani natafuta sehemu ambayo naweza kujifunza jinsi ya kutengeneza android apps. Yaani napenda sana kuwa android developer. Hadi sasa nimejifunza C, C++, Java, HTML5, na CSS3...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi, poleni na kazi!! Wadau naomba mnisaidie IDM (Downloading manager) ya PC yangu. Toka nimeshusha window, mpaka leo nikidownload zinakuwa ni Trial, ndani ya siku 30 inakuwa imeexpire...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
nilikuwa naomba msaada on how to root Samsung Note 3
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Automaticaly search, download & install all outdated/missing drivers with one click! free..! Follow link: HOW TO SOLVE ALL PC DRIVER ISSUES WITH ONE CLICK -...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jaman kwa wale wajuzi wa simu anaeweza kunsaidia jinsi ya kuroot android aniambukize hayo maujanja
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wataalamu naombeni mnielimishe kuhusu Java program. Nikitaka kuingia baadhi ya mitandao kuchat naambiwa to be able to chat install java program, sasa hii haihusiani na kuspy data zangu? program...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello guys. There is this HP Laptop with a processor of 1.8GHz, 512MB of RAM and HDD of 58GB running windows XP Proffessional, version ya 2002. It real drive me crazy, naomba msaada wenu... 1...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Msaaada Wana JF Budget yangu n Laki n 40! Nahitaji nunua Simu yenye Android ! Ambayo sitojutia baadae!
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Jaman naombeni msaada wenu niwapi naweza pata origional batteries za blackberry?
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Bila shaka tunatumia Keyboards kwa laptops, desktops na pia vilevile virtual keyboards kwa touch devices.Have you ever wondered as to who came up with the universal arrangements and sequence of...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, hiyo simu kuna mtu alikua anabofya-bofya, hatimae ujumbe ukasomeka hivyo. Hai-respond kwenye chochote. Kuizima hadi utoe betri, na kuwasha ni kwa kubonya 'Power button + Vol down/Up...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninaexternal hard disk ya GB 500 nikiiconnect na computer inawaka taa then inazima afu haiconnect tena kama kuna mtu alowahi kuexperience shida hii please nisaidie solution! Na kama imekufa is...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za uzima wana jf....wakuu nina compyuter yangu hua ninaitumia kila siku bila kunisumbu ila leo kila nikiiwasha inatoa mlio kama wa alarm hivii nikajaribu kufungua ili nijue mlio huo...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
wakuu nimesubscribe Lectures za Online lkn inataka niwe na stream tu yaani IDM haidetect hii video sasa nitumie downloader gani kuipakua... N:B:Hii video ilikuisikiliza lazima uwe Logined in...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
samahani ndugu zangu,nina cm nokia c2 imeacha ghafla kudisplay.ukipigiwa inaita vizuri tu na sms unazisikia zikiingia ila screen ndo ipo giza tu. naomba msaada wenu mwenye wazo la...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Ningependa kujua tofauti kati ya Nuclear Bomb na Atomic Bomb. Na lipi lenye madhara makubwa ukilinganisha na jingine Lililo angushwa HIROSHIMA ni Atomic au Nuclear Bomb Nawasilisha
0 Reactions
26 Replies
9K Views
unconfirmed news Zinasema kwamba microsoft wa release Windows 9 mnamo 2014 or early 2015 . hii imetokana na Windows-8 kutokuwa na features mpya sana ambazo ni zaajabu tofaut na Windows-7...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
habari wakuu ntawezaje kuongeza speed ya intrnet yangu wakuu msaada wenu natumia pd proxy!11
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Back
Top Bottom