Wadau napenda kushare nanyi kuna jama yangu ana modem ya ttcl na anajiunga kifurushi cha mia tano cha mb 100 ila kinakaa siku mbili na ni unlimited. Kwa maelezo yake kuna engineer wa ttcl...
Habari JF Community,
Kwa wale waliowahi tumia internet kutumia Ka satellite and TTCL cable tofauti yake katika perfomance..
Maana sasa natumia TTCL na nataka kubadilisha nieende satellite...
Tumia webcam ku login kwenye pc yako bila ku type password. kwa kutumia software hizi mbili utasahau ku type password ni mwendo wa kutenga uso tu. Utakapo install moja ya hizi software unatakiwa...
Ndungu wana technology! Samahani nnaomba msaada wa kimawazo....nimebadili sacket board ya tv moja yenye ukubwa wa 21 inch, tatizo likaja huku nyuma kwenye heater ambapo kile kijiacket kilikuwa na...
jamani wataalam hapa jamvini,yeyote ambaye amewahi kupata mojawapo ya sat hizo hapo juukwa dish au zote kwa dish la futi 6 msaada tafadhali,na maelezo ya jinsi ya kuzipata kwa urahisi,na kama...
Habari Wadau!
Naomba mnisaidie kuweza kuondoa hii tangazo linalotokea ambalo linaplay ikionesha mapishi, inakula MB zangu na sijui niligusa kitu gani mpaka ikawa hivi!
Ni tangazo la MAYAGO...
Nimenunua leo hizi modem mpya za airtel bad lack inashidwa kuwa connected to the internet
Ninatumia Dell laptop with Windows 7.
Inakuwa inaleta ujumbe wa failed to dial *99# (kama sijakosea...
Wadau, nimejaribu ku update iOS 7 version 7.0.4 kwa kupitia itunes (desktop) ila kila wakati inasema contacting the iPhone software update server. Internet connection iko safi haina shida. Sijajua...
.
Microsoft ndio wanaotegemewa mpaka sasa,
kama watainunua Winamp Au laa, me ni mpenz sana wa winamp.
Na ndo ina shuts down mnamo December 20. Kwa kushindwa kujiendesha yenyewe.
.
Chukua HAPA...
Katika pita pita za kuangalia simu gani yenye OS ya android itakayofaa nimeona kuna simu inaitwa samsung galaxy s4 clone. Kutokana na bei yake kuwa ya kuridhisha around 400k nilivutiwa kuimiliki...
Open this text file online and copy its contents in a new notepad file or download it to your PC.
Now you have the file if you have downloaded the file just make sure to rename the file as "hosts"...
Ninatumia simu aina ya HTC,
Nikiingia ktk mitandao ya jamii mfano Facebook, sioni picha .
Naombeni msaada ktk settings niguse au niende wapi ili kuona picha
Ndugu wanajamvi habari za leo!!!
Naombeni msaada wa namna ya kufanya internet connection ya Nokia Asha 501.
Ni simu ambayo nimenunua kwajili ya dada yangu ili japo niweze kushea nae vitu kama...
nikidownload nyimbo zilizokuwa uploaded Facebook. wakati wa kuplay inaandika "sorry the file can't pray".
natumia operamini, ucbrowser, fb app ya android na firefox.
Natumia SIMU
Wanajamvi,ninaomba msaada wa jinsi ya kujua namna na wapi ninapoweza kuona nyaraka nilizozipakua ktk mtandao ndani ya simu yangu,nina simu Android,lkn kila ninapopakuwa nyaraka,nikizisoma basi...
Nina android 620, mtoto wangu kachezea na sasa simu haziingii kabisa lakini nikiangalia kwenye received nakuta simu zote zilizoingia bila simu kuita.nisaidieni kutatua tatizo hilo wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.