Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu nmedowload hii kitu lakin nmeshindwa kuitumia,,"face password"
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa auto run virus kwenye kompyuta.
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Habari za jioni ya leo... Naombeni msaada wa kujua majina ya maduka ya Computer (Laptop) jijini Dar es salaam ambayo yana bei cheap (up to 600,000 TShs) kwa laptop mpya. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Wadau naomba kujuza jinsi ya Ku-cofigure hii PD proxy hili nipate access ya internet free. Natanguliza shukrani...:A S tongue:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jaman kila nikijaribu kuplay uideos online computer inaniambia 'A PLUGIN IS NEEDED TO DISPLY THIS CONTENT.INSTALL PLUGIN,nikijaribu kuistall ikifika mwisho inafeli,natumia DELL ninatakiwa niwe na...
0 Reactions
5 Replies
822 Views
goodafter kazi to JF wote. naomba muongozo kwa mwenye kujua how i can change my user name here on JF.
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Salamu wakuu! Nimenunua laptop netbook ina operating system ya android jelly bean. Nilipohitaji kutumia modem nimegundua haisupport external 3g (dongles) na ina rj45 na wi-fi. Naomba ushauri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani humu jf naona kuna members wameweka avatar ambayo ni video clip, kama za sekunde mbili au tatu hivi. Naomba nielekezwe steps za kufuata ili kuweka, mimi najua tuu kuweka ya still picture
0 Reactions
5 Replies
877 Views
Nimejifanya Nunda, . nika unlock hii modem, chaajabu ikawa inasoma lain zote isipokuwa vodacom tu. . Nika upgrade tena ika upgrade bila kunidai Code, . Nika unistall . Nikajaribu ku...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
I was going through android apps when this app- mosquito repellent caught my eyes. It was like a joke. So for curiosity purposes, I decided to install it. The app produces various sounds which are...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Kati ya China, Urusi, Marekani na Israel, na wengine bila kusahau North Korea. Ni nani wadhani wako mbele katika sayansi yao ya kisilaha? Binafsi, nadhani China wameendelea sana kuliko wengine...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
IMEI no 359592035437659 model K msaada wandugu nataka nitumie line zote
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Naomba wenye uzoefu na haya magari wanisaidie ni gari ipi iko comfortable na operating/running cost ipo chini ukiachilia mbali matumizi ya mafuta. Magari ni kati ya Toyota Land cruiser Prado...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
nin changamoto za ku upgrade os? Coz kuna waloua sim
0 Reactions
2 Replies
697 Views
msaada jamani..kuna jamaa angu alishika simu yangu akawa anataka ku unlock ili aitumie,na mie nli lock kwa kutumia pattern sasa inavoonesha alikosea mara nyingi kwa sasa inataka kulog in kwa gmail...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kutatua tatizo la game kukataa kufunguka sababu ya tatizo linalotokana na Directx. Nikijaribu kufungua battlefield 4 au need for speed rivals napata msg hii Natumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ransom Cryptolocker . . Huyu ni malware anayefanya data incryptions katika files kwenye PC yako, na hivyo hutaweza kuzi assess, mpaka utakapo provide keys mara pindi utakapolipa $300 kupitia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anazo settings za internet za mtandao wa Airtel naomba anipatie.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana nimenuua simu aina ya HUAWEI Model HUAWEI Y300-0100 Naipenda sana lakini inatumia laini moja tu nayo ni tigo sasa nataka munisaidie ili ifunguke na itumie laini zote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba usaidizi wa hatua kwa hatua wa jinsi ya ku unlock huawei E173 safaricom modem.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom