Habari zenu wanajamii
Kuna kitu bado kinanishangaza:confused: kwenye hizi tecno smartphone Kwasabab najaribu ku-root tecno l3 naona kama inagoma hivi wakati nafuata njia zote za kufanya rooting...
Mara nyingi watangazaji wa redio kwenye vipindi vinavyotoa nafasi kwa wasikilizaji wanawasisitiza wapiga simu kukaa mbali na redio au kupunguza sauti kama sio kuzima redio kabisa. Kuna sababu gani...
Hi Guys,
Nahitaji desktop cpu yenye specification zifuatazo
RAM: 1GB or more
HDD: 250GB or more
Processor: Preferably dual core
it should be in good condition.
send me a private message if you...
I have my laptop that have got problem. the power circuitry is dead and now it cannot power up at all.
I need expert who can check it and possibly fix it.
machine is HP Probook 4510
update...
Wakuu naombeni mnisaidie web ambayo naweza kudownload VGA ( video graphic adpter) inayorun kwenye OS zote .
Nimeinstal OS lakini imenizingua VGA
Natanguliza shukrani sana
Makosa 5 wanayoyafanya wamiliki wa Website na jinsi ya kuyaepuka
Katika dunia ya leo, kuwa na website ya kampuni au biashara si kitu cha anasa na pia si kitu cha hiyari bali ni cha lazima kwa...
wapenzi wa GTA wafurahie kujua kuwa GTA V itakuwa madukani kuanzia kesho. nimepata fursa ya kuicheza na hata kama mie sio mpenzi wa GTA, nimekubali sana hii V. GTA V itakuwa out on PS3 na XBOX...
naomba maujuzi kwamba!,hivi hizi program za android zatumika pia ktk komputa kama tunavyozitumia ktk smartphone,ipad na tablets zingine???. kuuliza si ujinga
Habari zenu wakuu.Nilikuwa nauliza kwa yeyote mwenye maujanja ya kuisimamisha last seen ya whatsapp isi fanye kazi .nimejaribu ku google na kupata application tofauti tofauti sijafanikiwa.
Wakuu samahani nahtaji msaada. Nataka kununua smartphone nzuri na ya bei ya kati kuanzia laki 3 na nusu mpaka laki 5. Ni aina gani nzuri na ya kisasa ambayo itakuwa na teknolojia nyingi na za...
Naomba msaada, IDEOS imejifunga, nimesahau password ya google accounting , imeandika Emergence call only ,nifanyeje kutoa lock ?
@ chief Mkwawa na wengine
Msaada ms office inagoma installation...almost 85% inagoma bila error code yeyote.. ms office 2013, 2010 na 2007
kwa mwenye msaada..ni windows 8 x64 bit.:disapointed:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.