Kichwa cha habari kinajieleza, nina PC yangu win7 ipo kwa sebule wakati mwingine napenda kuwa gheto na simu yangu ningependa kutumia wifi kutoka kwenye Pc yangu
Wakuu heshima zenu.
Tafadhal kama kuna yeyote mwenye setup ya hili game MOTORACER LA 1997 baadh ya picha zake nimeziweka kwenye attachment hapa, last tym lilikua liko free online lakini naona...
Wakuu
Naomba kama mtu anaweza kunitatulia hili kwani ipo slo sana sababu nili update na microsoft nilipowasha mara ya pili ikaniambia nimelost password lakini nimeirecovery ipo slow msaaada Wakuu...
Angalia password zilizohifadhiwa Kwenye Browser mara unapologin
Je huwa unasave password zako kwenye browser kama vile Chrome, Firefox, Internet Explorer, Opera na nyinginezo unapologin ...
Tovuti kadhaa za taasisi kubwa kubwa na blog chache zinazopendwa hapa bongo zinatumia Joomla! toleo la 1.5 . .
Sasa toelo hii a jooomla! lilikuwa likisappotiwa kwa muda mrefu matatizzo ya...
Salaam, Natumia simu aina ya HTC desire ( Android Version 2.2.2 Baseband Version 32.49.00.32U_5.11.05.27 KERNEL vERSION 2.6.32.15-GF5A401c Build number 2.29.207.4 CL 345089 release key Software...
Hi, nina website ya kampuni yangu ilitengenezwa kwa kutumia word press, nataka mtu/kampuni nitakayo inia nayo mkataba wa mwaka mmoja wa maintenance. Nakataka nipate mikataba miwili:
1. Mkataba wa...
Wanajamvi habari ya j2.Naomba mnisaidie kwan toka jana mke wangu kaniambia tv haionyeshi kitu ni sauti pekee!Sasa leo naona tatizo liko palepale na nikafikir labda ni tv yangu tu?Nimejaribu na tv...
nipo tabata natafuta fundi wa kunifungia dishi la futi sita katika satellite ya badr au Nilesat nahitaji fundi wa uhakika kwani kuna fundi wa awali ameshindwa nipo dar
Wana jf naombeni msaada hii simu ina sd card 8gb lakini ninapodownload application hata mb 50 tu naambiwa ?'low memory". Na kweli inakuwa slow kikwelikweli hadi ninapoziondoa simu inarudi ktk hali...
hii laptop ukiwasha tu inasema uweke pasword sa hizo pasword mi sizijui kuna m2 nlimpa kaleta ipo ivo nimejaribu kutoa hdd,ram,cmos battery wap msaada wenu jamani nifanyaje?
MAMBOZ....
KAMA WEWE NI DOWLOAD JUNK MPENDA KUDOWNLOAD MAVIE NA MASOFTWARES BASI HII HAPA NJIA ........
Kwa kurahisisha kuna video hapa imeuploadiwa kwenye channel ya youtube Asha Fatuma -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.