Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nahitaji ushauri Juu ya Ubora na Uzuri wa SAMSUNG galaxy ACE ,kwa aliyeitumia .
0 Reactions
3 Replies
775 Views
A friend needs some softwares/movies or whatever and you dont have an external drive. You have forgotten important documents in your computer and you want to access/print them instantly, and many...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Habari za majukumu wana jukwaa Leo hii nilikuwa nanua kakifaa fln online bila kutumia PayPal i.e kwa kutumia Card no. security code,na Jina la mwenye kadi bila kusahau Expiration dei ya card...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa sasa hivi Avast Software wametoa Avast Internet Security 2014 beta 2. Beta ikimaanisha iko kwenye majaribio, Sasa swali ni kwamba watu wengi tumezoea kutumia softwares ambazo ni free na wakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kaka habari ,na2mai umzma hebu nitoe tongotongo kwa hili NINI TOFAUT YA simu ambayo ni clone na original manake nimepitia uzi mmoja humu nikaona m2 akidadavua kwamba kuna clone na orgnal m...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Get your free fax number linked to your e-mail address now Missing faxes, busy fax lines, no confidentiality and malfunctioning fax machines… Does this sound familiar? Yes…Then try our...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Saluti wakuu wa JF wote! Kuuliza si ujinga naomba kujuzwa kuhusu ulimwengu wa simu za mkononi aina anuai. Mara kwa mara ninasikia kuna kundi ANDROID na mengine... Itapendeza ukinijuza kwa picha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika security, za nokia Aina hii, ntazungumzia keypad hand guard, yaani lock ya kawaida, hawa jamaa walifanya kosa ambalo mpaka sasa security code za simu hz n weak, JARIBU KUFANYA HIVI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BBM hiyo itakuwa na uwezo wa Chat, Group Chat, na kutuma files. Feature ya Video na Voice calls ambazo zipo BB10 zitakuja baadae. Utaratibu wa PIN utatumika kama kawaida. Itasupport Android 4.X...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
heshima mbele wakuu,mwenye kufahamu jinsi yakuifanya tochi ya kusoma spead mita inayotumiwa na police wa usalama barabarani usisome.
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Wana JF kwa anaye fahamu jinsi ya kuinstall IDM Yenye hacking key please anitumie hayo maujanja coz imenisumbua kwa muda mrefu xana.Natunguliza kwanza shukrani:nod:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie. Nina Mini PC. Kwa bahati mbaya mtoto aliimwagia soda ya Fanta, pale kwenye keyboard. nilichelewa kutoa betri mpaka jioni tangu saa 7 mchana. Na hata tulipotoa betri na...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu ndugu zangu,hasa wanajua juu specification za hii simu na ubora wake,na kwa wale waliokwisha nunua naomba mnipe description juu ya utendaji kazi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kama ni m2miaji wa Nokia E5, E71, N71, N73, na nyingnezo kuna apps, za kuwa nazo makini sana, apps kama x-plore ambayo hu show RAM drives, na SYSTEM FOLDER, ambayo ina include PRIVATE...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu kwa anayefahamu mbinu hii anijuze na pia kama kuna program ambayo inaweza kulifanya hili basi naombeni! Hii naona ni mbinu itakayosaidia highest internet speed...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Watalamu wangu buroo wenu anatatizwa na hii k2,,Nataka piga window inagoma coz imechezewa kwny bios setup na kupigwa password na aliyeniuzia yuko nje ya inji cna mawacliano tena,,plz wachawi wa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau.... GURU internet LEO wametoa tolea jipya la guru, version 2.2 linalotumia latest version ya open VPN , hivyo inafanya kazi kwa mitando yote muhimu,( siitaji majina) sasa haina haja ya...
0 Reactions
64 Replies
9K Views
BBM IS COMING TO ANDROID AND iPHONEBlackBerry has announced that BBM is coming to iOS on September 22nd and to Android on September 21st. That’s right BBM fans — the iconic mobile social network...
0 Reactions
2 Replies
767 Views
Baada ya OVI na appstore je ipo local platform inayowawezesha Tanzania developers kuuza apps with local content hapa nchini na wanunuzi kulipia kupitia mpesa?
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Like clockwork, Apple has just released the long anticipated iOS 7 software update. Packed with innovative new features and rocking the controversial Jony Ive-approved user interface...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Back
Top Bottom