Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam wakuu idm nikitumia modem ya voda inafanya hivi na hai download lakini nikiweka modem ya airtel inapiga mzigo kama kawa naombeni mnisaidie utatuzi natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
846 Views
wadau mimi sina uelewa mpana wa mambo ya blogu, kuna kijana wangu amenielekeza namna ya kufungua kupitia e mail ya Gmail.com. Nimefanikiwa na nimenza ku upload vitu. Lakini nina maswali mengi je...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
QuickOffice ni watenegenzaji wa Software ya kusoma na kuedit files za MS Office kwenye mobile, ambayo ilinunuliwa na Google mwaka jana. Sasa app hiyo imekuwa bure, badala ya bei ya $14.99 hapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama ni mtumiaji wa Nokia N73, waweza kuandika SMS kwa ku copy na kupest text, kutoka kwenye Opera mini, STEP fungua operamini yako ukisha yaona maneno unayotaka kuya copy> Fanya kama...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
hizi zinazoitwa WINDOWS PHONE ni nini?and what are differences with ANDROID ?na je unaweza ukaiwekea WINDOWS PHONE android system?
0 Reactions
2 Replies
691 Views
hiv laptop za siku hiz, ni kwa Africa tu au. mbona plastic zake naona ni weak sana, yan ni tofauti kabisa na laptop za zaman kama, ukijaribu kuangalia lap top zetu hz za dukan ukiidondosha tu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
We offer all e-mail users with a FREE 07366xxxx fax number that is linked to your e-mail address. You can now receive all your faxes in your inbox the same as a e-mail. Should you be...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
JE WAJUA? Wadau wa jukwaa hl samahanini kwa usumbufu ila nilikuwa napenda kuuliza kama kuna yeyeto anayefaham program yoyote au jins ya kukopiy DVD za collection kwenye compyuta mana zingine...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Leo jamani nimepata pop up ya Avast Antivirus ikiniambia kwamba niRecommend hiyo Avast antivirus kwa rafiki zangu kwa kuwapatia hii link avast! | Increase Your Protection ili wakidownload hiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nabishana na mdau moja naombeni jibu
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habar wadau inataka kununua samsung S4 lakini mi c mzoefu sn kwa hz smartphone ninauliza ni vitu gani vizur naweza kuvipata kwenye hii cm?
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Microsoft katika Nokia> Katika uundaji wa windows phone, microsoft ime panga kuleta new windows phone zitakazo, endana na matumiz ya AFRIKA yaan BEI, hii ni kutokana na kupata kipingamiz kikubwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wa ungwana,kuna jambo linaniumiza kichwa. hivi mtu akidownload nyimbo ya msanii au muvi,msanii anafaidika vipi au kama analipwa analipwa vipi na analipwa na nani?......
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kingsoft Office Professional 2013's Presentations module closely resembles Microsoft Office's. (Credit: BitsDuJour) This is an update of a deal I wrote about a few months back -- for those who...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
habari za siku wana JF? Nilijaribu kufunga ubuntu kwenye computer yangu ila nikaja kuitoa kwa sababu ina a bit of complications kwenye kuinstall progs(ina commands nyingi) sasa nikaijaribu hii...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau,.. Natumia simu aina ya Nokia E-71,. Nahitaji msaada wenu ni namna gani nitapata kujiunga na Instagram,. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wadau,.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau baada ya connectify kugeuka ngumu ku crack hasa version 5 nakuendelea. Naombeni mwenye software mbadala wake anisaidie nimejaribu virtual wifi router sijapata mafanikio yoyote.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Unakuta Sim Inakubali Kuwa Hewani Kwa Line Moja Tu! Vipi Kuna Software Naweza Pata Ili Kushughurikia Hili Tatizo? (Iwe Rahisi Kuitumia Mda Wowote) Ahsanteni!Nawasilisha!
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Pata notification kwenye simu yako pindi channels za bongo zinapoweka video mpya kwenye youtube. Download Tanzania TV App
0 Reactions
7 Replies
973 Views
kwa kawaida Nokia symbian, zimetengenezwa kiajabu sana! Nyingi sana zina RAM MB 128 kama nokia C5 yenye internal memory 50MB na N73 yenye 42MB unapo tumia web browser ya kawaida katika sim...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom