Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
http://www.4shared.com/android/5KJK6VUe/combbm.html Doesn't work though.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salam wakuu, Tafadhali mwenye kujua duka zinakopatikana battery za iphone 3Gs original na ni bei gani anijuze tafadhali...Nipo dar now. Shukrani..
0 Reactions
3 Replies
879 Views
Blackberry kwa sasa haifanyi vizuri katika soko la smart phones japo wametoa simu kadhaa mpya, lakini bado Blackberry inasikika kutokana na huduma yake ya Blackberry Messenger (BBM). Jana kampuni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani naomba nisaidieni ni wapi ntasoma CCNA(CISCO) kwa hapa dar na ni bei gan kwa kipindi cha muda gani,ilaa kwenye upande wa muda kufundishwa ningependa uwe mchana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
😜
2 Reactions
28 Replies
3K Views
wakuu habarini,nina photocopier canon image runner 2520 ambayo ina uwezo wa kuprint,sasa mimi sina ujuzi huo,tafadhali msaada wenu wakuu
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu habar zenu?naomba mnisaidie nawezaje kudownload season/series movies?
0 Reactions
0 Replies
642 Views
jamani nataka niwe natumia instant message(IM) nimeweka setting zote yan username na password but pale kwenye SERVER SETTING sijui nijaze nini
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Ninatumia simu aina ya tmn bluebelt ii, sasa nahitaji kujua jinsi ya kuweka (os) windows mpya , tafadhali kama kuna mwenye ujuzi wa jinsi ya kuinstall windows anisaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu ,kiujumla cjawah ku2mia kabsa blackberrymobile ila nina idea kdogo na huduma yao ya BBM.Hv juzi nimekuwa nikiona taarfa mbalimbali kuhusu uwezekano wa kuhamishwa kwa huduma hyo kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
iOS, Tech News | -8 Comments BlackBerry might have put itself up for sale, but the company is still fighting to stay relevant. The company announced that the popular BlackBerry Messenger (BBM)...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
watumia wa pdproxy na wanaopenda kuitumia voucher zipo hapa na hata kwa member wapya mnakaribishwa please PM
0 Reactions
29 Replies
3K Views
nimetafuta hiki kitabu kwenye torrent kat.phh piratebay.sx hakipo Getting Started with BeagleBone: Linux-Powered Electronic Projects With Python and JavaScript {Getting Started with BeagleBone...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanajf naimba msaada jinsi gani nitawapata marafiki zangu wanaotumia huduma hii ya watsapp maana nimehangaika mwenyewe bila mafanikio
0 Reactions
0 Replies
1K Views
simu yangu nikiitumia huwa inapata moto na kuisha chaji haraka nisaidieni tatizo ni nini?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina hamu sana ya kujua kwa undani android operating system. Nimekutana na maneno haya matatu mara kwa mara, honey comb, ice cream sandwich na jelly bean. Naomba msaada kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba kufahamu free document editor/viewer kwa android phone ni zipi? (Version 4.1.2 JELLY BEAN)
0 Reactions
2 Replies
689 Views
Wandugu wazima? Laptop yangu ya HP inanisumbua kweli yani nikiwasha inawaka kama sekunde moja tu then inazima hata kwenye bios setting haifiki. sijui tatizo litakua nini wajameni?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni moja kat ya games ambazo nazkubal xana na baada ya kuona trailer lake... Lakn cha ajab kwny pc yng inagoma kwa kuonesha black scrn plz naomba kwa aliyenayo na inacheza anielekeze amefanye
0 Reactions
1 Replies
718 Views
habar zenu wanajamvi.leo ninajambo kidogo nataka kuwashirikisha. katika pitapita zangu nimeona kwa kiasi kikubwa soko la it likipanuka kwa kasi sana siku hadi siku .pia kwa kadri miaka...
1 Reactions
0 Replies
784 Views
Back
Top Bottom