Samsung Galaxy Note 3
Design
Jet Black or Classic White, Galaxy Note 3 is thinner and lighter with a variety of S View Flip Covers.
Performance
2.3 GHz Quad-Core Processor, 13 Mega pixel Auto...
Je, ni simu zipi ni nzuri kwa matumizi ya kawaida ya internet kati ya HTC na Samsung Galaxy? Simu zenye bei isiyozidi sh. laki 3. Naomba ushauri wa kitaalamu katika maeneo yafuatayo:
1. Uimara...
Nilijikuta nimeingia kwenye application lakini kumbe spyware ikaingia kwenye toolbar yangu na kila nikitakakutoa kimeshindikana ni ka unstall Mozilla ila kwenye explorer akipo kitu chenyewe...
Kama nimpezi wa mipra bonyeza link hapo chini utaweza kuangalia league zote duniani live pamoja na premiere league kwa kutumia stream internet. unauweza wa kuangalia hata HD channels lkn...
Wakuu Simu Yangu toka jana Nashindwa kuingia Google wala ku download chochote kile, nikiingia Google Inaniambia Web page not available, tatizo ni nini?
Aina ya simu yangu ni Ideos huawei - U8150
Nina simu yangu ya Samsung GT-S5603 imegoma ya touch screen imegoma kabisa kusense kwenye kioo,nashindwa hata kuitumia,ipo ipo tu,naombeni msaada wenu kwa wale wenye kujua jinsi ya kuitengenezea...
Fellas nnatatizo kwa laptop yangu aina ya macbook 2,1 inabehave strangly nimeichomeka kwa umeme ila imeweka x kwa icon ya battery afu inanipa ms plugged but not charging! Nimetest battery kwa...
I have huawei e303 modem from vodacom. My modem has unlimited internet bundle. the problem i am recently facing is that my modem disconnects from internet after almost every one hour.
I am using...
Habari zenu wana JF, nahitaji kujua zaidi kuhusu https na ssl na nini athari za https kutotumika kwenye website. Nahitaji maelezo mazuri kwa anefaham teknolojia hii. Kwa mtu akinielewesha kwa...
Salam wanajamvi: kwa muda nimekuwa nikijaribu ku-install software ya xampp katika pc yangu lakini tatizo apache inafail ku-run , mara nyingine kunipa message kuwa port 80 inatumika so haiwezi...
Nilikuwa naactivate window 7, wakati wa kuirestart ndo tatizo limeanzia hapo, inawaka inazima, kuwaka kwake inaishia kwenye neno ACER then inazima, sijui ina matatizo gani wakuuu, plz naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.