Katika kujifunza Kwangu web designing nimekutana na hii kitu Rss, ina maanisha kitu gani?
Je ni system ya zamani au mpaka sasa inatumika katika websites?
Wadau mimi natumia simu aina ya Nokia E-71-1, tatizo langu lipo kwenye connections ya internet! Jf naingia kwa kulegalega sana maana inaload mida mrefu sana, sasa mimi nataka nijiunge na Whatsapp...
Yaani kipofu kaona mwezi! Hapo nyuma kuna Hangover III, We are the millers, Killer Elite, Now you see me, This is the end na white house down Halafu zote ni HD 720
Ka weekend katakuwa poa sana...
Wakuu heshima kwenu, ninaomba msaada nifanyeje, ninapofungua thread ya JF nashindwa kuscroll ili kusoma posts, ile scroll bar hutokea na kutoweka au inakuwepo lakini nikiscroll hainifanyi kufika...
wandugu naomba mnisaidie,
natumia dell latitude d610,
ilikuwa inafanya kazi fresh, ila siku moja nilipoiwasha ikaniletea screen ya buluu ikiwa na text, part ni
"... memory parity error ..."...
jamani msaada wenu! Nipo kwa jirani yangu kwa bahati mbaya nilipretend km fundi, nimechokoza kale ka antena ka startimes ka ndani. Sasa inasearch mda mrefu. imeandika 35 receaved, 2 channel...
Note from the head of BBM
Posted by Andrew Bocking
Hi Android and iPhone users,
This is Andrew Bocking, head of BBM at BlackBerry. As a follow up to our first blog post on Saturday, I want to...
Salaam!
Simu ya blackberry curve imeibiwa punde tu,naomba msaada wa wataalamu au wazoefu jukwaa hili kama kuna njia yoyote ya kuitrace ikapatikana.
Natanguliza shukrani.
haya tena wapenzi wa teknolojia mpya microsoft wametangaza surface 2 inatoka jumatatu ijayo, itakuwa na 10.6-inch 1080p screen, details zaidi zinakuja, pia mnaweza ongezea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.