Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hello Nataka kufahamu jinsi gani naweza kubadilisha Low pressure regulator ya mtungi wa gas kuwa high pressure regulator. Maana nataka low pressure regulator niliyonunua iongeze spidi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TomTato combines two plants in one...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Wadau kuna shule nimeitengenezea blog but tatizo linalojitokeza ni kuwa kila ninapoifungua katika njia ya kawaida hiafunguki mpaka niisearch kwa google ndio naipata....je tatizo ni nini hapo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Samsung plans curved-screen phones Last updated Sep 25, 2013, 12:12 PM GMT+03:00 Samsung has already launched TVs with curved screen displays Samsung Electronics, the world's best-selling...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nataka ninunue laptop mpya kkoo...4gb ram 500 hd au zaidi...cost shs.ngapi na maduka mazuri yapo wapi
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Wakuu kuna uzi flani ulielezea jinsi ya kufanya disk partition kwenye pc,nilifata steps zote lakin baada ya kuona disk ambayo ina jina UNALLOCATED nika right click na kuchagua "new simple...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Ili kupata star tv kwa star times tena unakwenda menu.halafu chini kuna system setting unabonyeza ok then inakuja channel search then inakuja manual search mbele kuna namba 451unabonya namba 053...
3 Reactions
97 Replies
13K Views
Ndio hvyo wapendwa...nimejituma ila sijui wapi pa kuanzia kuhusu App za Ant-Theaf, Music,Video & Games, social network pamoja na browsing nyngne ukiachana na Opera min....mengne mnaweza kuongeza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna usemi wa kiswahili unaosema, "mali bila daftari, hupotea bila habari". Maana ya msemo huu sio kwamba kwenye daftari ndio utahifadhi mali zako, la hasha, bali kwa kuwa na mipango na kumbukumbu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi naomba kufahamu jinsi ya kugawa partition kwenye kompyuta yenye partion moja local dick ina Gb 80
0 Reactions
11 Replies
10K Views
jinsi ya kujitoa fb
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Wana JF especially wale wenye ujuzi na mambo ya IT zaidi naomba msaada wenu juu ya matumizi ya program/software inayoitwa ORION DESKTOP inayotumika sna na ma suppliers na wa2 wa biashara pia.:A S...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
wadau nisaidieni ktk hili maana laptop yangu inagoma kudrive cd na dvd, au kama kuna altenative nyingine tusaidiane. Thanks in advance.
0 Reactions
4 Replies
854 Views
habari poleni namajukumu samahani naomba kama kuna mtu anajua kuna chuo kinachotoa diploma ya electroengernering (samahani kama nitakosea) kwa online anijulishe kwa my email davidkabelinde@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Kuna jamaa humu jamvini alieleza jinsi ya kurudisha startv kwenye kisimbuzi cha startimes. Leo nimejaribu nimefanikiwa ingawa am too late but! Tatizo channel zinaonyesha but kuna ka-bango...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie namna kugrab picha kutoka kwenye video natumia nero6 na ashampoo burning studio but nashndwa so mwenye ufaham pls
0 Reactions
6 Replies
1K Views
With Samsung still holding on to its place at the very top of the world smartphone market, there is no shortage of China-made clones of its most popular handsets — namely, the Galaxy S3 and its...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili ni janga kwa sasa nimenunua modem za kampuni zote za simu hapa tz, nilianza na moja nikaona inazingua speed nikahamia mtandao mwingine nako hali ni ile ile hadi nimemaliza leo nimenunua...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hungry techies everywhere from Nigeria to Ghana, Kenya and South Africa are building web-based companies providing simple solutions for some of our most daunting challenges and inconveniences...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Habari wadau, naomba kufahamishwa corning gorilla glass ni nini hasa, na pia kama ipo kwenye simu kuna haja ya kuweka screen protector. Ahsante
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom