Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Eti coins za tz zimetengenezwa kwa madini gani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wajf poleni na majukumu,naomba mnisaidie jamani nina simu yangu ya mchina aina ya Itel internet ipo fresh,file inaweza kudownload ila tatizo ikiisha maliza kudownload file halifunguki inaandika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari za leo, nina tatizo. nimeformat laptop yangu iliyokuwa ina antivirus ya kaspersky niliyokuwa naitumia nikiwa nje ya nchi.. sasa nimeirudisha hiyo antivirus baada ya kuformat nikajaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cheka Bombastik Mpya! Pata Dak 40 kupiga simu mitandao yote TZ, SMS bila kikomo na MB 250 za Intaneti kwa masaa 48 kwa Tsh.900 tu, Kujiunga piga *147*900# sasa. Kazi ni kwenu.
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za Leo Naomba msaada wa simu yangu aina ya iPhone 4S inazingua wakati Fulani Yule nae mpigia hanisikii nimebadilisha mic likini bado tatizo lipo. Ila kuna muda inafanya kazi fresh lakini...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Wadau. Nimenunua simu ya IDEOS toka Tigo but realized imekuwa customized for Tigo ONLY HELP TO UNLOCK IT? Help to unlock my freedom to use it for the network. Of my choice.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
jamani ukitaka kujua samsung origiona unafanyaje nisaidieni kujua
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naombeni msaada laptop yangu ina niandikia NTLRD is mising...press Ctrl+Alt+Del to restart...kila nikipress haifunguki.nifanyeje? Laptop dell
0 Reactions
4 Replies
699 Views
Kuna taarifa ambazo nazitilia mashaka kama kweli zimetoka airtel.. Page yao ya facebook nahisi imeingiliwa na wahuni amabo wanaipa promo kampuni inayosema inatoa mikopo ya bei nafuu iitwayo SOCIAL...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nauliza wataalamu naweza kuzipa ubora nyimbo za bongo fleva nilizo download toka mtandao wa manase?Nyimbo nyingi zina ukubwa chini ya MB 1.Hazipig vizur.Naomben mnipe jinsi ya kuzipa ubora.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuanzia October yoyote anayetaka kufanya ICND1 & 2 inabidi afanye version 2 ya mitihani ambayo ina topics tofauti na hii ya sasa.
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Naombeni mnsaidie.. Laptop yangu dell imenizingua nikiiwasha inaniandikia''NTLDR is missing...PRESS Ctrl+Alt+Del to restart'' kila nikijaribu kupres hizo keys hamna response nifanyeje?
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Hi Members I need the following network materials,there is a little network task I need to accomplish 1.Surge arrestor preferably protect net,APC,see the photo below 2.PVC cable trunking...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
salam wakuu . nimepokea zawadi ya cm aina ya SAMSUNG galaxy wonder. ni android 2.3.6 cha ajabu haina icon ya market wala play store so siwezi kudownload apps kutoka google . ila whatsapp...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
The company on Wednesday introduced the BlackBerry Z30, a new model that features a 5-inch display, stereo speakers, a bigger battery, and the latest version of its BlackBerry 10 operating system...
0 Reactions
5 Replies
925 Views
on ma side ninaweza kuchakachua Airtel na zantel Kuchakachua follow steps bellow Download Cproxy mimewawekea kwachini kwenye page hii au click CPROXY Then install it ita open but itakua...
3 Reactions
57 Replies
20K Views
ndugu zanguni nakumbuka miaka ya 2000 ndio nilianza kuzifahamu smartphones haswa nokia hizi N series,hapo kabla niliona sana siemens then motorola L6 na L7 na samsung kadhaa zikashika hatamu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi ni aina gani ya laptop ni imara na inadumu kati ya Dell,Toshiba,Compaq,Lenovo na HP?.
1 Reactions
38 Replies
10K Views
KWA PC: You need a PC or a Laptop and the required connectivity tools ,ie., Serial/USB cable OR Infrared Device OR Bluetooth dongle 1) Activate Airtel Live! ( It’s FREE so no probs) 2) Create...
3 Reactions
22 Replies
16K Views
Wadau! Samsung Gallaxy S4 yangu diplay imegeuka upside down nifayaje niirudishe kawaida?! Yaani ina siku 3 tu... tangu ninunue Aksante
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Back
Top Bottom