Msaada ndugu zangu,nataka kuidivert line yangu ya voda pind inapokuwa off air iweze kuita kwenye line yangu ya airtel kwenye tecno 605 NIMEJARBU INAKATA 2
Wakuu naombeni msaada natumia dell d620, window 8. Kumekua na tatizo kila nikifungua pc nakutana na ujumbe huu kwenye desktop
Window created a temporary file on your computer because of a...
Bado sijajua jinsi ya ku-set modem iwe katika WCDMA only.Nilipokuwa na window 7,nilikuwa naenda options>>network>>halafu nina-select kati ya WCDMA only,WCDMA preffered,GSM only na GSM...
naomba msaada wa kurudisha bootscreen kwenye simu aina ya samsung galaxy S4 wakuu nilikua naifanyia Restoration ili niweke account mpya baada ya hapo nilipo washa inaniandikia android ile icon...
moja kati ya vitu vinavyoogopewa tanzania ni radi. sasa pata picha kitu kinachoogopewa kama radi kinapobadilishwa na kuwa rafiki wa mwanadamu na kuweza kutoa nguvu ya umeme kuchaji simu.
nokia...
Ndugu yangu,
Humu mitandaoni kuwa makini sana. Simaanishi kwenye Intaneti tu hata kwenye simu. Kwani tumesikia watu wanangapi wanatapeliwa na watu kwa kupigiwa simu na mtu asiyemjua lakini kwa...
wakuu kila nikijaribu kupiga simu naletewa 'ACM limit exceeded' bt meseji zinaenda na kuingia vizuri tu...vile vile naweza kureceive calls...msaada wa namna ya kusolve hii kitu...
Kuna jamaa ame reverse engineer iMessage ifanye kazi kwenye simu za Android ipo Google Play https://play.google.com/store/apps/details?id=com.huluwa.imessage
Nina uhakika itafutwa muda si mrefu...
Sababu zisizoeleweka zimepekea Blackberry kutotoa BBM kwa ajili ya Android na kuifuta ya iPhone kwenye appstore baada ya kutoka kwa muda mfupi.
Hii inaendeleza tabia ya muda mrefu ya BB...
Nimekuwa nikitumia Iphone 3gs kwa kipindi kirefu sasa nataka kupanua wigo wa matumizi ili niweze kupata Application ambazo si za APPLE nasikia ni nzuri sana,naomba mwenye ujuzi huo anisaidie.
Wadau naomba msaada Flash Disk yangu inasema niiformat kwanza wakati nina mafaili muhimu ya kazini na mambo mengine, je kuna njia yeyote nayoweza kuifungua bila ya kuiformat? MSAADA PLEASE!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.