Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama nivojitahd kuleza mwenye nazo naomba anipatie. Malipo yatafanyika ya vocha tu lakn.
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Laptop yangu ni Brand ya Lenovo. ina umri wa miaka miwili tu. natumia Kaspersky 2013 niliyokuwa nai-update daily. kwa wiki ya pili sasa nikiiwasha inaunguruma na hata mlio wa kuwaka (starting up...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
The defeat of blackberry smartphone fabricator! It happen to go into slump for about 964$m loss as the result of disappointing for its Smart phone in the market. The heading smart phone in this...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Hello good people Ninayo sony experia Z, hii simu nilinunua mpya kabisa dukani na nikatumia kwa zaidi ya miezi 3... Ghafla Hasubuhi naamka nikashangaa haisomi network nikajaribu kuirekebisha hapa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kushindwa kununua MAC sasa nataka kununua PC so naomba mawaz yenu juu ya brand ipi nzur kati ya hizi mbil. ni kwa ajili ya graphics & video editing
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari nyote ma-technician wa jf! Naomba nisaidieni miye mdogo wenu; nimeletewa laptop na mshua mpya aina ya toshiba but sijajua sianzie wapi, nabaki naishangaa plz nishaurini vitu vifuatavyo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman naomba software ya kuflash sim za kichina.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nahitaji keys za adobe cs3 Master collection. Nilizo nazo zinazingua. Halafu majuzi nimepoteza nokia yangu e72. Sasa najua kuna mtu anaitumia kiulaini tu maana sikuweka protection yoyote...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Naomba mnisaidie kujua matumizi hasa ya hii app, nimegundua nli install kutoka google play lkn kwa kweli sijui Inafanya nini. Hlf Ile michoro ya kuscan ndo siipati akilini kabisa,naomba mnitoe porini
0 Reactions
2 Replies
752 Views
kuna post iliweka about nokia kuja na lumia mpya 1520 vp ishakua released?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau Hamjambo jambo Kwa wale wapenzi wa Music hasa mziki wa mbele, kuna these two special softwares once you combine them together, You can download any Album from any Artist Globaly (Isipokua...
0 Reactions
7 Replies
18K Views
Hivi ku root phone ni kufanya nini?
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Wakuu hii cm inanisumbua sana tatizo haitak kukubal application ya kununua kifurushi pia m pesa tigo pesa na hta airtel money yaan km sa iv nimeweka laini ya airtel nilikiweka *149*99# kununua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo waungwana nimeambiwa ya kuwa receiver mzuri ni x master sawa sasa mimi ninachoitaji kujua ni kuwa nitaipata kwa bei gani ?
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Nahitaji kununua Laptop nzuri, mtu mmoja kanipa ushauri kwamba MacBook Air ni nzuri zaidi naomba ushauri kwa mwenye ufahamu wa laptop au ambaye ameshatumia MacBook Air anaweza kunisaidia kama...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanajamvi naombeni mnielekeze jinsi ya kupunguza light,nimetafuta sana lakini sioni mahali pakupunguzia,naumia macho sana (ACER ASPIRE E1-531),
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Napenda kuwasilisha mada kwenu ,Ni simu ya samsung galaxy S4 imepoteza ile orginal boot screen ya samsung s4 baada ya kua nmerestore nilipo iwasha inaleta bootscreen ilo andikwa android nmejarib...
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Hello, Habari wana JF, naomba msaada wa ku unlock simu yangu ya huawei U8650 ili iweze kutumia line zote.
0 Reactions
4 Replies
962 Views
Nina HUAWEI ascend y 200, U8655-1, inajirestart tu, yaan inatokea ile icon ya huawei then inarudia rudia hapo hapo, nimejaribu hard reset ya kubonyeza switch on + volume up lakini wapi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
iOS 7 nausea and cybersickness: What causes it, and why it’s a sign of things to come It seems that Apple’s new iOS 7 is so advanced that it’s actually causing cybersickness — nausea caused by...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Back
Top Bottom