Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kusaidiwa kupata hii software.. Imenipa Moral ya kuitafuta, maana nilienda kuflash simu ya nokia.. Nikamuona jamaa anaitumia hii kitu, nimejaribu kuisearch but sijafanikiwa,.. Yoyote...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Nilitumiwa laptop mini kutoka America miezi kadhaa iliyopita. Nimekumbana na Tatizo kubwa sana kwa uelewa wangu wa mambo haya. Operation ya Laptop inahitaji niwe na internet ndipo niweze...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama ulisha wahi kuwaza juu ya saa yako utaitengeneza wapi na fundi yupi ni mwaminifu.. Mtafute huyu fuundi, ni fundi MZURI na MWAMINIFU saaaaana.. Nimeridhika na kazi yake mpaka nikaamua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
habari wakuu.. mimi natumia simu aina ya nokia x2-01, ina mwaka sasa toka niinunue, sasa nashangaa tatizo hili ililonalo la kuonyesha mwanga mweupe bila program yoyote kwenye kioo, tatizo lake...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
HELLOW GUYS.. nataft tablet inayo run windows.... nakaribisha offer through pm au hapa kwenye wall.... welcome!
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Hi Team Please this is my first project on website designing,I coded from scratch.I need to see it using other people's eyes. You are welcome for advice,comments and suggestions.Thank you in...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
UFO mystery tied to launch of ‘trail-blazing’ rocketStrange, glowing orb is seen hovering over a vast stretch of Indian Ocean; it turns out to be fuel released by next-generation rocket launched...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
wakuu compyuta yangu aina ya sony vaio imenizingua sasa nimempelekea fundi kaniambia gpu imekufa na bei yake elfu sitini,kuna ukweli eti hapa wakuu maana naona hela ni nyingi sana.au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Hizi ni habari za kusikitisha, kuhusu yuke mtunzi maarufu wa military thriller books. Tom Clancy. Mwandishi huyu amefariki Jumanne usiku kwenye hospitali ya Baltimore, chanzo bado...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
There’s no question that the iPhone 5S and iOS 7 together make for the best phone ever made. The din of offhand, dismissive criticism from the Android fan base that Apple never innovates should be...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Eti jamani, kupi kuna faida zaidi kati Electonics na Electrical engineering?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Za wakati huu wana JF mimi nipo kibaha nina computer mbili aina ya Dell zinatatizo la kushindwa kuwaka zinawaka taa ya njano tu na siyo green kama zingine. Jamaa wa karibu wanasema ni mother board...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Za Sa hv wakuu nahitaji msaada wenu, kuhusu ebay kwa mtu aliye wahi pata mzigo via ebay.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu, Laptop yangu Dell Inspiron 5030 inasumbua kwa kweli. Kila nikiwasha ina waka vizuri inafika sehem ya kuweka password naweka password baada ya dakika kama 3 ina leta blue screen...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ilipokata kuna ndugu alisema tubadili na kuweka frequencies hizi 3892 v 3072 lakini kwangu had l eo inaandika signal is weak msaada jamani!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona ndo imetoka 3gb ram, samsung quadcore prcessor 1.9 ghz 5.7 inch display,13MP camera, android 4.3, improved stylus na support ya galaxy gear. Mi naona mwaka huu hautaenda vizuri kwa Samsung...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ilikuwa inapatikana kwenye dish kupitia channel ya TBC1 lakini kwa sasa siipati sijui wameondolewa kwenye satellite?
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Wakuu naomba kwa mtu yeyote anaeweza nisaidia linux nitashukuru sana! nipeni hata link itakayoniwezesha kuupakua huu mzigo!! nitashukuru sana.......
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Mi napita tu kwa muda huu kuwajuulia hali na kuwatakia cku njema
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Jamani nilikuwa na root simu yangu ya samasung galaxy pocket nilivyo maliza nika click reboot recovery simu ikajizima toka hapo haijawaka hadi sasa, nikatoa betri lakini nikawasha tena imegoma...
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Back
Top Bottom