Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hellow dungu zangu Ni jana jioni katika computer yangu ya DELL yenye DUO OS yaani nimeweka win7 na windows blue windows seven niliacha tu niki-assume itanisadia baadae sasa hii windows 7 ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Jamani naombeni mwenye simu iliyo kufa aniuzie screen simu yangu imekata mwanga kwenye kioo ni pm tuongee biashara
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Nahitaji driver installer ya windows hasa 8 na download manager kama unaweza kunitumia link itakuwa vyema au title zake.thanks
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekua nikiitumia hii app ya android for almost 2 week sasa na naweza kuitolea verdict yangu... ni very useful app kwa wale professionals wanaotumia GPS devices kwa ajili ya kuestablish locations...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
60 possible new species found in Suriname forest...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Kaka arselona na wana jamii forums wenzangu,msaada kwenye hili,tena msaada wa haraka sana,nimelekwa kwa mrusi mmoja hapa dar,anataka channels kutoka russia,ana euro star 8ft solid dish,receiver ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni hayo tu wakuu najua kuna idea mnataka kuiexpress na kuimprove feauture nzuri mpya. By the way mtafanikiwa tu.
0 Reactions
6 Replies
912 Views
Nauza laptop aina ya ASUS NOTEBOOK ni mbovu imeharibika INVETOR bei 200,000 ila inapungua..NIKO TABATA MAWENZI..kama utaihitaji ni pm..
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Wakuu, kuna kijiwe huwa tunajimwaga kufuatilia EPL-mpira wa uingereza....jamaa amefunga Dish la d*tv la kipenyo cha karibu mita moja na vikolokolo vyake pia akaongeza twin LNB. halafu amenunua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kuna mtu ambaye anaweza ku jailbreak iphone 4s inayotumia ios7,please help.
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Please rescue Nokia store by voting from this link! https://www.change.org/petitions/nokia-keep-nokia-store-open-don-t-stop-symbian-meego-developers-from-creating-new-applications-updates Hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wadau msaada wenu tafadhali nikiconnect inaandika error 678
0 Reactions
1 Replies
1K Views
OCT 5 Buriani Engadget Distro! Mwezi Septemba mwaka 2010 iPad ya kwanza kabisa ilitangazwa na hayati Steve Jobs, huu likuwa ndio mwanzo wa tableti za kisasa, Jobs alitaja mambo matano ambayo...
1 Reactions
0 Replies
962 Views
Need a help! I have a new iPad activated in US, it has a cellular mode but the chip is from apple. Can I have a local cellular chip cut in that shape from any provider (eg Airtel, Voda)...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Andika neno HAPANA kwenda 15055 kupinga kodi ya cm 1000 kila mwezi!! Ni bure hukatwi kura zitaonyeshwa ITV tar.3/10/2013 na 4/10/2013
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi natumia laptop Emachine E642 nilikuwa natatizo na keyboard ambapo baadhi ya keyboad zilikufa kabisa ilinibidi ninunue keyboard mpya kwa 90000/= Nasikitika huu ni mwezi wa pili tu...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
wakuu niaje? nina sh laki tano kamili naitaji laptop aina ya hp yenye spec zozote but iwe mpya
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu, nimepewa ipad ikiwa na baadhi ya nyimbo, sasa nataka kuongeza zangu kwa kutumia itunes lakini zinagoma. Kuna mtu kaniambia lazima nifute zile za mwanzo... Naomba msaada juu ya hilo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Niko na laptop yangu ya Acer baadhi ya keypads za keyboard hazifanyi kazi kama K,L,N,M,0, nk ni kale kadogo sana. Msaada wa utatuzi tafadhali
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Wakuu naomba msaada wa ku unlock huawei modem ec226..........nimeangaika muda mrefu bila mafanikio.
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Back
Top Bottom