Wakuu habari zenu!
Hii imenitokea jana desktop yangu kipindi cha nyuma ilkuwa ikiwaka vizur from BIOS to boot window ila ilikuwa na tatzo la kuonyesha mawimbi kwenye...
Wadau nilikuwa naomba links za website zinazotoa video tutorial hasa katika computer science na ICT studies
epecially programming,html,graphic design,database na zile issue hots katika ict...
wakuu nina laptop dell N5050 kila niki update hii driver inagoma , hivyo naomba msaada kwa yoyote mwenye ujuzi au link au hata mwenye nayo anisaidie niweze kuipata.
Salaam wakuu,
Sometimes unaweza ukainstall game au program fulani then ukitaka kuirun unakutana na kitu kama hiki:
The program can't start because d3dx9_27.dll is missing from your computer...
kuna website inaitwa muziki.net. kuna nyimbo nyingi za kibongo,na mara kadhaa
nikiplay moja kwa moja kutoka kwenye website zinacheza but nikidownload inashindikana.
nimejaribu kutumia idm bila...
Wakuu Wa Kitengo Hiki Nina shida Na Galaxy S2 Au Simu YA Android Brand Kali Mwenye Nayo Anitafte Ila ni Vunja bei Kimtaa wanasema cha Mkononi Msaada ZAidi
Jaman naombeni msaada wenu ya nini nifanye kwa ajili ya VLC Media Player yangu...kwani haitoi sauti..NimeSET hadi mwishoo ni kimya kimya tu...NimeUNINSTALL..Then nikaINSTALL upya but tatizo...
Nimenunua computer aina ya macbook, tatizo linalonisumbua kwenye hii pc ni kwamba nikiplay nyimbo ambazo ni audio zinakubali, lakini video zinagoma na media player ambayo inatokea wakati wa kuplay...
Magenious wa it.blacky berry curve ilikua inaconect net fresh ila nilipoanza tumia line ya voda nyingne inagoma inaandka retry kuconect. Hebu nifanyieni michakato hapo
Kila nikijaribu ku download movies au game inaandika connecting to peers, hakuna kinachofanyika tena. naombeni msaada au kama kuna software nyingine nayoweza kutumia.
Thanks....
habari zenu wana jf naomben msaada pls kuna mtu ananitumia meseji nikimaliza kuzisoma zinapotea hata nikienda kuangalia inbox nakuta hakuna kitu na zinavyoingia kwenye sim yangu zinaonekana juu ya...
mwenye ufahamu zaidi kuhusu raspberry pi anisaidie nahitaji msaada majibu ya nenda google siyataki pia kama kuna reseller wa karibu wa hapa tz naomba msaaada
Kwanza natangulza shukran za dhati Chief Mkwawa kwa moyo wake wakujitoa kusaidia wanaAnalojia ktk forum hii,,, Mungu amzdishie baraka tele na aendelee na moyo huo na Wengne tuache uchoyo nakuigga...
wakubwa,,,,,ivi blackberry inakubali instagram????????
na kama haikubali simu gani yenye kukubali instagram,,,,whatsapp,,fb..tweeter,,viber,, na acesories nyingine za kijamii?????????
KUULIZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.