naomba msaada kwa anayejua, nna samsung galaxy kwa sasa haiwezi ku turn on bluetooth wala wi-fi inanipa error nikiwasha, zamani ilikua inafanya nikajaribu kila aina ya setting nimeshindwa hadi...
It's so hard to look away. But you really should, at least occasionally. And "remind yourself to blink."
Do you look like this right now?
If you don't, the Vision Council wants you to know that...
kampuni ya dell si ngeni machoni mwetu wengi tunaijua kua ni kampuni inayotengeneza desktop na laptop zinazotumia windows, lakini dell anatengeneza pia vifaa vya android na windows mobile lakini...
Nimejaribu njia mbali mbali kama
Kuuninstall Microst AC adapter,microsoft ACPI - compliant control method Battery na nikascan lakin bado battery icon inaonyesha plugged in ,not charging
wanajf naomba mnijuze tofauti iliyopo kati ya simu zinazotumia android 2 na zile zitumiazo android 4.kwa muda swali hili limenisumbua sana,hii ninayotumia kwa sasa ni tecno p3 na android yake...
Habari wadau,
naombeni msaada wenu kutatua hii shida niliyonayo. Nina Galaxy s2 ambayo inanisumbua kutuma message, sometimes inaload tu wakati wa kutuma msg au inarudisha ujumbe sms not sent...
Wadau mimi nafanya kazi kwa shirika moja la microfinance, shirika hili sever zake ziko uholanzi, kutokana na sababu hiyo tunahitaji internet ya kasi zaidi itayowezesha zoezi la uingizaji data liwe...
Dutch students out-accelerate a Bugatti Veyron with their electric carBy Alex Lloyd
Posts
Email
By Alex Lloyd | Motoramic 13 hours ago
Email
Share7
Print...
Karibia kila siku hawa wa teknologia hasa bara la asia wanakua na mambo mapiya na yenye ubunifu kukabiliana na makampuni makubwa ya simu duniani.
Katka pitapita zangu nimeziona hizi simu za...
Jamaa wa stardock wameona kilio cha watu wengi ambao hawa pendi changes (Which I definetly not agree with them I believe change is good) Na kutegeneza software itakayo rudisha start menu kwenye...
Ndugu wana Jf huku kwetu wizi wa simu umekithiri sana juzi niliibiwa Nokia C3,nime jichanga nime nunua Nokia X2-01,kama mjuavyo kinga ni bora kuliko tiba naomba msaada Ndugu zangu kama kuna...
Scientists in Australia have succeeded in creating the first graphene-based optical disc. Owing to the magical properties of graphene, were not just talking about a Blu-ray or DVD disc that has...
Wakuu naishi Dar eneo lisilo na Umeme. Kuna jamaa waliniambia naweza kununua Injini ya Power tiller na motor nikafungiwa na kupata umeme wa uhakika. Nikiri mimi si mtaalam wa masuala ya umeme...
Wapendwa nimejikakamua na kununua simu aina ya Blackberry 9930 Bold wiki moja iliyopita kwa mtu iko kwenye hali nzuri kabisa.
Sasa nilipoinunua ikabidi niweke line yangu ya Tigo ili niweze kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.