Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana jf Nilikua naomba msaada wa kuangalia youtube click ktk blackberry yangu kwani natumia bb internet package ya airtel na nadhani wamezuia nisione. Au ni kwa wote hawaoni?
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Nimenunua ipod ambayo ninashindwa kuitumia kwa wireless internet. Ninaomba wadau mnisaidie jinsi ya. kuitumia coz nimebaki kuwekea mziki na picha tu. Ipod ya Apple. Natanguliza shukrani Ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nikitaka kuangalia video katika youtube anasema set APN msaada wenu jamani nifanyeje? Ni blackberry Curve 9320
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Wadau mimi nina nokia n73 nahitaji ushauri wa jinsi yakudownload satelite maps na kuzi_instal kwenye cm Naomba msinishambulie coz kuuliza sio ujinga.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kama una Tatizo Lolote Kuhusu iDevices (iPhone, iPad & iPod Touch) Kama UNLOCK, JAILBREAKING & any APP installation Free & Paid ... Niulize nitakujibu BUREEE. JUST CALL ME AN iDEVICES GURU...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
By Adrian Covert @CNNMoneyTech October 8, 2013: 4:23 AM ET NEW YORK (CNNMoney) The Moto X isn't going to change your life. But a few extra features make the Moto X the best Android smartphone...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mtu anataka kuniuzia Samsung Galaxy S3 naomba jinsi ya kuitambua
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Samsung wanajiandaa kutoa simu mpya itakayoitwa Galaxy S5. Hivi ndivyo wanavyokuja: Processor yenye nguvu, na Ram ya kutosha. Camera mp 16, yenye technology ya ku stabilize image. Body lake...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
mwenye uzoefu na biashara ya internet jamani,nataka fungua cafe
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Wanabodi, nikiwa mdau wa masuala ya TEHAMA (ICT), tarehe 3/10/2013 Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imeanzisha TUME YA TEHAMA ili kuratibu shughuli za TEHAMA hapa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wadau,nasikia ujazaji usio sahihi wa upepo katika tairi za magari huchangia gari kula sana mafuta,hivi mahusiano hayo huwa yakoje?pia,ujazaji sahihi huwa ni upi na kwa kipimo gani?maana kwa hawa...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Mozilla has announced it will soon start launching Firefox OS-based devices in new markets around the world. Mozilla launched the first Firefox OS smartphones — the ZTE Open and Alcatel One...
0 Reactions
6 Replies
974 Views
Niaje wakubwa, naomba mwenye drivers za fingerprint ya IBM T43, nimetafuta kutoka lenovo ila zinazingua kinoma..thanks kwa atakaenisaidia:help:
0 Reactions
0 Replies
745 Views
heshima kwenu wadau wa jukwaa hili, laptop yangu aina ya acer windows 7 hai-boot ukiiwasha inatokea black screen na maneno press f2 uki press f2 haifanyi chochote badala yake ina restart yenyewe...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari. Wazee nineletewa simu tajwa hapo juu, inatatizo. Hii simu ukiichomeka katika charge iwe USB katika PC au katika AC (socket) Touch screen yake inapunguza sensivity ya kurespond. Kusema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana nimepata tatizo hili ghafla katika simu yangu, Proximity sensor na front camera vimeacha kufanya kazi ghafla, niklaunch front camera inasema "Camera Failed". Nikipiga simu sensor haifany...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa pata vocha za pdproxy kwa shiling elfu 6500 katika bei ya jumla ofa hii ni ya muda tu .wasiliana nasi 0688148836
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cardless ATMs allow you to get cash with your phoneBy Blake Ellis @blakeellis3 October 9, 2013: 7:37 AM ET Just like using a "remote control for the ATM," you will soon be able to log onto a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Magwiji wa technohama tafadhalini tunafanyaje kuipata iyo kitu tajwa hapo juu.......nimeskia izo updates zipo tayari sasa kwa karibu brand zote za lumia windows phone 8 ila installation bado...
0 Reactions
5 Replies
986 Views
plz plz naomba msaada ku unlock hii simu itumie line zote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom