If your copy of Google Chrome has taken on a sudden and inexplicable hatred for Shockwave Flash, we're here to help. Read on as we show you how to tame Chrome and get it to play nice with Flash...
jf wote msaada wenu naomba kutoka kwenu kuna mtu ananikera sana hua ananipigia simu na kuniudhi na anapo piga simu namba hua anablock kwangu inaonyesha private number kwa kweli huyu jamaa...
Wakuu nimekwama kidogo nina htc-desire nime upgrade software from 2.1 to 2.2
Tatizo kila nikifungua ile icon ya MARKET inagoma kufunguka,niki download whatsapp from
the web inagoma pia,i need your...
jf wazima. toka jikoni
Satllite ku NSS 12 at 57.0e [11026H11436 utapata ntv,qtv,ktn,kass tv,family1,family2]
[11556H3299 utapata k24] kama utakumbuka zamani kbc tv na zuku walikua wanapatikana...
Salaam wanajamii!
Nimetumia mashine ya Datecs, kwa bahati mbaya nimeuza katika mashine zaidi sana ya kiwango halisi (Ni zaidi ya mauzo ninayoweza kufanya kwa mwezi). Nahitaji ufumbuzi katika...
Wakuu natumia nokia 6700 slide,nimeletewa,download newoperamin version tatizo langu kila nikijaribu downloading inashindikana naombeni maujanja,asante.
Leo nilikua napitapita kwenye maduka yanayouza laptop nataka kununua laptop. Ila katika pita pita nimekutana na haya maneno kuna laptop nyingine zinatumia WINDOW 8 system nyingine zinatumia DOS...
Now that technology is changing every now and then,do you think the laptop will soon be a thing of the past? Personally I think that laptops have some advantage over tablets for example a...
Jamani naombeni kujuzwa nawezaje kudownload nyimbo kutoka kwenye blogs mbalimbali ninatumia android huawei. Then kuna wakati inasema low memory hapo shida inakuwa nini ...naomben tusaidiane kwa...
Wana jf,salaam: Nimekuwa nikijaribu ku-install xampp lakini imekuwa inafail kufanya kazi na mwanzo ninpoanza ku-install huwa kuna message kucheck user contro account (UCA) kama ni kikwazo cha...
It's not just Bill Gates who has a benevolent eye turned towards Africa, as Microsoft has launched the second stage of its 4Afrika initiative in Tanzania. Redmond has teamed up with local provider...
Wana jamvi salam.
Nimekuwa na tatizo la kuangalia Youtube online, na hata video online zinakatika hazifika hata mwisho. Naomba mwenye kujua Software ya kudownload video anisaidie, hasa za free...
OCT
11
Apple hawajamaliza kutoa Bidhaa Mpya 2013
Wengi walidhani tukio maaluma (Special Event) la mwezi uliopita ndio ungekuwa mkutano wa mwisho wa Apple kutangaza bidhaa zao mpya mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.