Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
naomba kuuliza bei ya simu za promotion za tigo huawei zinazotumia android,kwaba zinauzwa bei gan?...na kuiflash ili itumie sim card sote ni bei gan?
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari, Nina (blogspot) ambayo nataka kui-register haraka iwezekanavyo kwenda (.com). Naomba kujua yafuatayo. 1. Taratibu ni zipi. 2. Gharama ni zipi. Kama kuna ushauri pia, nini cha msingi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
kuna hii TV aina ya byDesigne {mtumba} from hongkong, haikubali picha toka cable wire hailet hata search option but nikitumia dish inakubali. naombeni ufumbuz wa hii kitu
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Naombeni msaada kwenye hilo maana inaweza kufanya kazi vizuri siku kadhaa halfu inagoma naomba msaada kwa hili pc ina memory 2 gb hdd 160 gb screen resolution 1780 x 788 Cc. @cto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nawasalimu wote !!! mimi ni mgeni kwenye ANDROID devices , kuna simu nimetumiwa kutoka U.S.A inaitwa HUAWE U8680 ni device zinazosambazwa na kampuni ya simu ya T-mobile , sasa imekuja na...
0 Reactions
5 Replies
945 Views
Hi guys, recently nimenunua a laptop and kuna vitu i didn't really consider. Natumia laptop kufanya 3D graphics au CGI, the downfall i get ni kwamba the graphics card kwenye laptop yangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari za kwenu wanaJF, kwa wale wenye utaalamu na simu za iphone naombeni mnisaide kujua jinsi ya kurestore firmware ya iphone 4s 6.1.3 kwenda kwenye ios6.1.2. pia naomba mnisaidie kujua jinsi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kuna tv moja nimeipenda nimeiona somewhere ila sijajua uwezo wake nifanyaje ni flat 42 inchKUWEZA kUicheK
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salam wanabodi wa jukwaa la Teknolojia. Tafadhali kwa mtu yoyote anaweza kujua nifanye nini ili akaunti yangu ya gmail isiniletee error niliyoitaja hapo juu. Mpaka sasa naweza kutuma mail...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
ndugu zangu nina modem yangu huwawei e153 nilijaribu ku i flash moja kati ya njia humu jf yani iweze kutumia line zote . sasa kilicho tokea ni kweli inasoma line yoyote kwa sasa ila kila nikitaka...
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Jamaa nisaidieni key za hii program natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
763 Views
wana Jamvi laptop yangu inanitaka niweke serial number katika internet download manager program mwenye link ya hizo serial number pliz msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I have a very smart phone with inbuilt gps. I think it is possible for me to track the exact location of a caller at any given time. Any ideas on How I can do this?
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Naomba msaada jinsi ya kucheza fifa 12 kwa kutumia keypad za pc
0 Reactions
0 Replies
718 Views
jamani njia rahisi ya rip collection cd kwenda kwenye laptop/pc ni ipi? naombeni msaadaa wenu!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
tulitegemea wire kupata conection ya cm. Bt leo wireless kwenye intanet, mic, etc. Vp kusafirisha umeme kuna wireless way?
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Ndugu zangu naomba mwenye ujuzi wa internet ya airtel naomba anisaidie niunganishe simu yangu nokia N50 na mtandao wa airtel. Asanteni
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Waungwana naomba msaada wenu natumia nokia lumia 510 inagoma katka huduma za Mpesa,airtelmoney na vifurushi vya mitandao hiyo so kama kuna mtu anajua jinsi ya kunlock ili i-support code za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau ninashida na bpm 9.4 naomba mwenye nayo anisukumie hapa tafadhari
0 Reactions
0 Replies
604 Views
wandugu naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload pdf ambayo ninayo kwenye cmu yangu kila nikifungua inaniambia licence adobe rider expired kwa yeyote anaejua anisaidie jamani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom