Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
samsung duos C3312 ina-install whatsApp? kama yes.! naomba mwenye link anisaidie ili ni-download.,!
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Laptop yangu huwa inajizima zima yani nikiwasha natumia kama dakika kumi inajizima hata kama ikiwa nimeichomeka chaji mambo yaleyale, mwenye kuelewa tatizo anijuze tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu simu yangu inanizingua memory kila saa inaniambia ni clear memor nashindwa kufanya instalation na kuupdate program nyingine, naombeni ufumbuzi wakuu
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Wakuu nimeandika uzi huu ili wana JF wenye unlimited internet waweze kufaidi zaidi internet hiyo. Pia nanyi mkichangia sites mnazozifahamu itakuwa poa zaidi. Kuangalia MBC 2 HD,MBC 3 HD, MBC, 4...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Iko poa hii software wakuu, simply jaribu kuicheck na uone inakuaje. NB: light affects the recognition process, kama wakati una register face ulikua kwenye mwanga mzuri then usiku gizani ukataka...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Microsoft is releasing its long-awaited Windows 8.1 upgrade as a free download starting Thursday. Kwa habari nzima pitia hapa Microsoft releases Windows 8.1, a year in making.
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wadau nahitaji msaada wenu...simu yangu ya Nokia C 3-00 inakataa ku download nokia store. nikifungua Nokia ovi inasema kuna new version lakini ninapotaka ku update inakataa inaleta message ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndani ya dakika tano tu unapata Mp3 search engine link kwa ajili ya website au blogu yako. ina kuwa na jina la web/blog yako juu pia inakuwa na link ya kurudia home page yako kuona ya mfano CLICK...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello friends, I need to transfer SONGS and videos from my PC to the IPOD and I can not do that. I tried unsuccessfully for Itunes. How best can do that ? WATAALAMAU SAIDIA HILI TATIZO
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Bila shaka hamjambo wadau wa jf,simu yangu inagoma kudanload sijajua nimefunga kitu gani mwanzoni ilikuwa inadanload vizuri tu,simu yangu ni nokia naombe msaada huyo nifanye je,natanguliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, laptopyangu imekua slow kiaina siku hizi apart from the fact kwamba hdd naona inaelekea kujaa ila pia nikiingia kwenye task manager kwenye upande wa processes nakutaka kuna process kibao...
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Wale wakali waku bypass survey hii ni yenu tena kuna premium accounts Bure za Pd Proxy za mwaka mzima CAUTION:Iwapo itakuwa generated from PD Proxy reseller panel ntai-Abort PD PROXY Premium...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Simu yangu ukiiwasha inawaka baada ya ile theme ya watu kupeana mikono then inazima ni tatizo gani hili na linatatuliwa vip msaada jamani
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Katika mashine yangu{PC} nashindwa kucheza FIFA 13 kwenye PC,Nikifungua GAME... PC ina niambia your video card does not meet the minimum requirement sasa sijui nifanyeje ili niweze kucheza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hellow help me pliz i have a (internet downloader manager IDM) BUT IT IS NOT REGISTERED and now is existing becoz i was using a trial version so if you have the crack for it help me to get it or...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NILIKUWA NAPITIA PITIA SOME SITES NIKAKUTANA NA HII DOMAIN, KWA KWELI NI NDEFU MPAKA NIKASHANGAA, VIPI NYIE WENZANGU, USHAWAI KUTANA NA DOMAIN NAME NDEFU IPI HADI UKASHANGAA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari wadau. Nina tatizo kubwa, kuna mtu nachati nae mara nyingi via mobile sms lakini tatizo ni kua sms nikizituma au yeye akituma kuja kwangu zinachelewa kufika, zinaweza kukaa hata dk 20 ndo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, haya mambo nilikua nayaona kwa wazungu tu kwenye muvi kumbe kibongo bongo yapo, kuna sehemu pale mbele kidogo ya Rose garden ya ukweli sana wameitengeneza kwaajili ya mchezo huu. Kwa wasio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau sasa ninaimani kwa muda mrefu mumekua mukisubiri kwa hamu jinsi yaku huck wireless internet na kuhack vitu mbali mbali easier and fast sasa backtrack5 ni mwisho wa matatizo kwa install os...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana Jf nisaidieni,niko Dar nahitaji kununua laptop nzuri niende duka lipi?
0 Reactions
1 Replies
637 Views
Back
Top Bottom