Habari wakuu,,
juzi nilinunua samsung GT-E1190
vile vidogo vyaku flip kwenye supermarket moja..sasa ndani nimekuta kuna line ya UK mpya
nikaachana nao,,nikaweka chip za kibongo hazifanyi kazi...
Ndugu wana jf naomba msaada wenu mimi nina Nokia X-01 mwanzo nilidownload whatsapp kwenye ovi store lakini ikatoke bahati mbaya nika restore simu kuanzia hapo app zote za jad hazikubali leo...
Wana jamvi laptop yangu aina ya Dell imeanguka chini na nilivoiwasha ikawa haitoi mwanga ila inawaka na unaweza kuitumia wakati wa mchana kukiwa na mwanga wa jua..sasa sijui tatizo hapo n...
Wakuu,zamani nilikuwa napata zaidi ya channel zinazorushwa na startimes kwa kuingiza namba flani manualy,sasa zinagoma,je ipo namna yakufanya ili niendelee kuzipata???
je ni jinsi gani. nitawe ku Root my Android phone
nimejaribu kutumia Z4root, Eroot, easy root zimeshindikana
Sasa nashindwa nifanyaje...!
my phone is model :TECNO B3
version : 2.3.6
habari zenu wana jf. Natumia Samsung Omnia Pro b7330 ni window phone, window yake ni 6.5 standard ila nashindwa kuweka program kama whatsapp, viber na nyingine nyingi ambazo ni nzuri kwa...
Tumia mtandao wowote unaoupenda huku ukilipwa na Perfect Internet
Tunatumia fb na mitandao mingine bila kulipwa hata senti tano.
Kwa nini usijiunge na Perfect Internet ukapakua (download)...
Jamani mwenye uelewa wa hili naombeni ushauri wa kitaalamu. Nahtaj kutuma video yenye ukubwa wa 3.3 MB ina urefu wa dakika 7. Kila nkijaribu ku "attach" kwenye GMAIL inagoma na nilikuwa natumia...
katika pitapita zangu nimefanikiwa kupata habari ya kifaa kama laptop kinachoitwa kobi kipo kama laptop ila kazi yake ni kuangalia cd. nataka niinunue kama unaijua tafadhali tujulishane kabla...
Kama topic inavyo jieleza, ambao mpaka sasa hawaja activate products zao chukueni hii.
Updates:
Mkuu NingaR katika pitapita nimekutana na hii update v8! , Nimeiweka hapa kwa manufaa ya wana JF...
So one of your friends, not you of course, has managed to nuke Internet Explorer and they are unsure how they did it. Youve eliminated the possibility of viruses and adware, so this just leaves...
Naomba mwenye ufahamu mzuri katika hizi hizi accounting packages anishauri ipi ninunue.
Kwa ajili ya matumizi ya Ngo ambayo inapata funds toka nje. Urahisi kutumia/kujifunza, wingi wa modules...
Ubuntu 13.10 Saucy Salamander released with
a new smartphone experiance . just try it
out if you have a an androind smartphone
Instructions for flashing a phone
or tablet device with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.