Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hatimaye Blacberry wameamua kuizindua application yao ya BBM ambayo sasa itakuwa ikipatikana kwenye Android na iPhone. Kwa sasa application hiyo haipatikani kirahisi kwenye store za Android na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naombeni msaada jaman nikitaka kufuta,kuformat na kupest file lolote katika flash yangu inanambia this action can not be done the disk is write protected msaada plzzzzzzzzzzzzzzz
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau Wiki iliyopita niliibiwa laptop yangu lakini nilisikia kuna namna au wataalamu wanaoweza kui-trace mara tu ikiunganishwa online, je nitawapata wapi hao wataalam hapa Dar?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
1st Fully Bionic Man Walks, Talks and BreathesHe walks, he talks and he has a beating heart, but he'snot human — he's the world's first fully bionic man.Frankenstein's monster,cobbled together...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Hallo wana JF. Kichwa cha habar kinajieleza vzuri. Mwenye nayo Mpya kabisa: ani-PM fasta. Sihitaji Clone. Only Genuine Machine required.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habarini za sahizi? poleni na majukumu,ndugu zangu samahanini nimesahau zile ussd kwa ajilibya kuweza kutambua simu original yenye teknologia ya android sinakumbukumbu nzuri ya hiyo kitu...mwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu nimekuwa nikijiuliza hili swali siku nyingi: hivi hizi simu za samsung ambazo zipo cloned,ni kitu gan wanacho-clone? Ni OS au hardware? Kama ni OS je ukitoa iliyomo ukaweka ambayo sio...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
kwa anayefahamu,natumia nokia N97 ambayo ni Symbian...je naweza kutumia Instagram?!
0 Reactions
2 Replies
940 Views
wakuu nakuja mbele zenu nikiwaomba mnisaidie ni aina gani ya digital camera ni nzuri. Ili nitakapo enda dukani nisiingie mkenge. pamoja na hilo si vibaya mkiweka na bei ya camera hiyo...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu nimepewa nafasi ya kuchagua simu kati ya hizi mwenye utaalamu aniambie ipi ni bora zaidi na sifa zake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
deleted
2 Reactions
103 Replies
14K Views
I think Microsoft is making one step forward and two steps backwards. This is especially so after they released Microsoft Windows8 in the recent past. In my own opinion, Windows7 is far much...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
naomba msaada nina Samsung external hard drive ilikua inafanya kazi vizuri ila ghafla nikiichomeka kwenye computer haisomi wala kuonyesha dalili zozote za kufanya kazi, haiwaki mwanga kama awali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie jinsi ya kuchakachua hii aina ya modem.japo nipate firmwire yake
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello jf natatuta cpu fan ya laptop Hp ProBook 4420s Kama unayo au unajua duka gani wanaweza kuwa na accessories za laptop please nijulishe.
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Tigo sasa majanga matupu;usilogwe utume hela yako kwa tiGO-pesa utakatwa ujute. Kwa sasa tiGO-pesa wanakata takribani shilingi mia kwa kila elfu moja utoayo. Siku nne mfululizo nimeshuhudia tiGO...
0 Reactions
2 Replies
897 Views
After a bit of rough times it seems things are finally looking up for Nokia and the Windows Phone platform in general. According to The Wall Street Journal, the company managed to sell "at least...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Firefox OS is a mobile operating system based on Linux and Mozilla’s Gecko technology, whose environment is dedicated to apps created with just HTML, CSS, and JavaScript. After almost two years...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitu bbm for iphone na android kimetoka rasmi leo. Check bbm.com ila kwa sasa ni kwa wenye samsung tu na baadae tarehe 25 itapatikana kwenye platform zote:D:eek:
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Wakuu habari za mida hii nahitaji hicho kifaa kwa ajili ya kukatia line za simu wapi na duka gani naweza kukipata kwa Bongo na kinauzwaje?
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Back
Top Bottom