Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
najua wengi humu tunatumia cm za android, kama samsung, htc na hata huawei, lakini tatizo kubwa za hizi cm ni ukaaji wake wa charge, sasa je kuna battery za kutoka makampuni mengine kama nokia na...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Imeleak masaa machache yaliyopita, me ndo naishusha now ila kwa wale wengine walio fasta mnaweza anza ishusha hapa https://kickass.to/microsoft-windows-8-1-rtm-x86-iso-thumperdc-t7794577.html
0 Reactions
35 Replies
5K Views
nauza external dvd/cd drive ina speed kali katika kusoma cd na dvd pia ina uwezo mkubwa wa kuburn CD....mashine imetumika for only 3 weeks....bei ni maelewano- MY CONTACTS; 0718164448
0 Reactions
1 Replies
692 Views
wakuu kuna yeyote aliye upgrade 2 win8.1,naomba anifahamishe.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NINA HUAWEI U8650 IMEHARIBIKA COLLECTOR INAYOPOKEA MKANDA WA KIOO...NATAFUTA MTU AMBAYE ANA CIRCUIT YAKE ILI NILIPLACE YANGU...AWEKE BEI TUELEWANE:help:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
helo wana jf na wana IT,nina tatizo kidogo hapa kuna baadhi ya video za youtub zinahita nifanye linking ya acount yang na you tube. 2.nashindwa kudownlod picha za instagram.ni hayo tu wakuu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAKALA: ELECTRICAL TIPS Habari wanajukwa kwa kipindi kirefu nimekuwa na nia ya kushare na na nyie kile nachokifahamu kuhus fani yangu ya UMEME .. ambacho kwa namna moja au nyingine kinaweza kuwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habarini za kazi, ninaomba msaada namna ya kukopi picha za jpg zilizoambatanishwa ndani ya document ya microsoft word nimejaribu kila mbinu ninayoijua kuzicopy nimeshindwa nime right click...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Modem yangu ni HUAWEI E303s-1 imei yake ni 867648010137543 S/N: U9CBYA9270721796. Naombeni mnisaidie jinsi ya ku unlock.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomben msaada jinsi ya kuifuta account yangu ya facebook
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Tafadhali tizama file niliyo-attach. Hii nimeweka formula ya kupata net kama uko na Gross Salary. Naomba msaada wa kupata Gross kama niko na net, (with formulas please) stay blessed.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natanguliza shukurani kwenu wadau ,binafsi yangu sijawahi kutumia simu aina ya htc hivyo sijui jinsi ya kutofautisha clone na real one .kwa anayejua anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari members! naomba kufahamishwa namna ya kufanya kuwaondoa virus kwenye external had disc. Ni auto run alafu mafaili yote yamejitengezea folder ambazo kila nikideleat au kuscan zinajirudia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naombeni msaada wakuu simu yangu aina ya Sumsung 8300 touchscreen sasa hivi nikiweka line inadai niingize SIM password wakati mwanzoni ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa! Naombeni msaada...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi to all, Jamani kila nikiingia website hii www.mashambaviwanja.info naambiwa haipo hewani na kuletewa error kama inavyosomeka hapa chini, je kwako inaonekana au ni kwangu tu? Msaada tafadhari...
0 Reactions
3 Replies
682 Views
Hi members! Let us share this article. The Lake That Turns Animals That Touch It Into Statue-Like Creatures Click here to see these photographs that look like dusty statues! The Lake That...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Sikuwahi kutumia simu ya blackberry mpaka hivi karibuni nilipoletewa zawadi ya blackberry 9900 na rafiki yangu. Kiukweli sikuwahi kufikiria kama blackberry inaweza kuwa simu nzuri. Nimewahi...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
hivi inawezekana kweli.....?:cool:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
JF wamerudi tena na cloudflare
0 Reactions
3 Replies
930 Views
Naomba msaada my laptop inawakia kwene safe mode wht is the problem?
0 Reactions
2 Replies
573 Views
Back
Top Bottom