Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salam kwenu wana JF. Leo nimezungukia huku nataka kutoa kaintro kwa wale wapenzi wa Programming. Tutatengeneza Windows Phone 8 App Step kwa Step. Mahitaji:- Unatakiwa uwe na computer 64bit na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyeusi 4gb ndan kwa ajili ya internal storage imetumika ila katika hali nzuri inauzwa 230000
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Dunia tunayoishi, inaweza kufikia mwisho wake August 26, 2032. Kwa mujibu wa wanajimu wa Ukraine, kimondo chenye upana wa futi 1,300 kinakuja kwa uelekeo wa duniani na kinaweza kuiponda dunia...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
njia zipi za kuitambua samsung s4 kwa urahisi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
window 7 proffesional ambayo ime corrupt nataka kuitoa hii na kuweka nyingine kama hiyohiyo but ninapoinstall ikifika pale kwenye kurestart kompyuta inaporestart ikiwaka inaanza upya yani yataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba wajuze wanisaidie,nataka kujua formula ya ku-mention baadhi ya members kwa post zao. nitashukuru
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Guys, please help, I am looking for the CHEAPEST best ANDROID phone in Tanzania. I am not interested in things such as camera, Bluetooth, etc. I am actually looking for the phone that is run by...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wana JF. Simu yangu Samsung Galaxy S2 inaweza kupiga picha vizuri lakini ninapopiga haionyeshi preview ya hiyo picha ninayotaka kupiga. inakuwa giza tu. Mwenye kujua namna ya kutatua hili...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Let's just pretend that we are living in a world whete there are no computers, no smart phones and sophiticatef machines. How would it feel like?
0 Reactions
5 Replies
817 Views
Kwa watumiaji wa simu za android kuna hii google keyboard ni nzuri na nyepesi. Pia ina lugha ya Kiswahili. Nilijaribu kuipata Google Play sikufanikiwa ila kuna hii link hapa ya kudownload...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumia window 8, tatizo linakuja napounga Internet (Natumia modem ya Voda ) nikifungua website yeyote tu, inachukua kama dakika tatu au mbili, ikienda sana dakika tano INAZIMA ... nimechizika...
0 Reactions
5 Replies
780 Views
Kutokana na kuuzwa kwa kampuni kongwe nokia kwa microsoft je kampuni hilo kubwa litaendelea kutengeneza simu ndodo ndogo mfano nokia 110 au ndo itadeal na production ya Simu kubwa tu mfano lumia 1020
1 Reactions
0 Replies
921 Views
Wadau, Naomba msaada nimedownload windows 8.1 nikainstall ilikuwa na key yake ambayo ni default inatakiwa New Key sasa hapo ndipo ninapohitaji msaada maana kila nikiiwasha inanielekeza kwenye PC...
0 Reactions
2 Replies
705 Views
samahan wadau,kwa mlio dar ,et simu tajwa hapo juu kwa dar sasa zinauzwaje? nahitaji kunua mojawapo ila huku mikoan ni amabei ipo juu sana! natanguliza shukran
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaribu kuiangalia kwenye blackberry world siipati, nikipitia Google ndyo sielew kabisaa.. Please kama kuna mwenye link itakayoniwezesha kui-download instagram naomba anisaidie
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JFtech. Laptop yangu imepata short, kuna AC ya Processor imeungua na kabla iliharibika display ilikuwa haionesh, je tatizo la display kutoonesha kunaweza kuhusishwa na kuchoka kwa AC...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
money is not an issue.Munishauri ninunue simu gani toleo jipya nzuri yenye weka chaji mda mwingi,viber, and all technology issues.I want latest smart phone
0 Reactions
3 Replies
762 Views
heshima mbele wakuu, Em naombeni mwenye nayo iyo App aitupie hapa jamani, nimetafuta ku'update OfficeSuite+5 App. iliyokuja pre'installed kwenya Android Tab yangu ikani'prompt kwanza kulipia $14...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Kwa wanaotaka kununua simu za bei kubwa, Njia rahisi ya kutambua simu fake ni kwa kutumia imei-checker. Nenda dukani ukiwa na simu nyingine yenye net. Google imei cheker, fungua website yake na...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
jamani msaada kwa mtu mwenye idea na hizi mashine fuel injection pump tester..maana kuna mashine nimekutana nayo yenyewe tatizo lake haitaki kuwasha mota ya chini kwakutumia panel yake kwenye...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Back
Top Bottom