Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naomba msaada wa kuchakachua modem ya vodacom hi-link ndo nimenunua leo inaweza maelezo na jinsi ya kufanya ilishatolewa ial sikuwai soma maana sikua na interest nayo mpaka leo nilivyonunua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu habari zenu, natumaini mu wazima. ningependa kujuzwa kuna baadhi ya watu hasa wenye email adres za yahoo ambapo nimekuwa nikiwasiliana nao na mwsho jumbe zao hutokea majna yao kamil namba...
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Wanajamii tafadhali msaada wenu nauomba nimenyanyasika vya kutosha. Mimi niko Congo Kinshasa nina line ya Voda ya Congo awali nilikuwa natuma sms bongo bila tatizo zinafika. Lakini sasa ni wiki ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina ka android cheap device from china,internal memory imejaa ila nimeweka SD-Card ya 8GB,Tatizo nashindwa kudownload More Apps Naombeni mnisaidie jinsi ya kutatua hili tatizo hili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,naomba msaada please,mashine yangu ni MacBook Model No:A1181, inatumia OS ya Mac Lion OS X 10.7 nataka kuinstal new OS.Je, naweza kuinstall Mac OS X Mountain Lion au haipo...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
My bitcomet downloads which are in progress
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Habari zenu wataalamu. Nilikuwa naulizia kama kuna mtu yeyote mwenye idea kuhusu upatikanaji wa Windows 8 Build 8400, Kwa kuwa nime-google mpaka sasa ila sikufanikiwa kuipata hiyo version ya...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
wakuu wa na jamvi nina tatizo kidogo computer yangu iko slow sana nimejaribu kupenguza vitu lakini bado sijui nifanyaje msaada plz
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada nini chakufanya nina Smart phone (LG F160 LTE_E120316) hai-respond ussd code zote!
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wanajamvi naomba msaada jinsi ya kuset internet ya airtel kwenye simu ya nokia asha 210
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Apple has released OS X 10.9 Mavericks, and somewhat surprisingly it is a free upgrade for all existing OS X users. If you’re using a Mac laptop or desktop from the last five years or so, you...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Have you ever thought if you could play/pause the video being played on your system by just raising your hand? If yes, then this is possible with Flutter. Flutter is an application for both Mac...
3 Reactions
1 Replies
900 Views
Wakuu kwa yeyote mwenye keys za AVG PC TuneUp 2014 au PC TuneUp yoyote naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Habari zenu wakuu natafuta Zinc Dust msaada, ntapata wapi na ni bei gani. Thanks!
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Wanajamvi salamu, Naomba msaada maana nime install win 8.1 nashangaa haina excel, publisher wala powerpoint.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nahitaji kudownload series je nitumie website gan nzur?
0 Reactions
3 Replies
705 Views
Najua wapenda kujua mengi zaidi. Chukua hii kwanza ,iwapo unadeni la 500. Tigo na unashida ya kuendelea kupata huduma na unajifikiria ukiweka 500 watakata deni. Hahahahaaa usijali nunu vocha yako...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Compact disk stores data in form of small holes and no holes. As you know all computer codes are just alteration of one and zero. Holes represent 1, whereas no holes represent 0. The holes are...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau embu tujadili issue ya kupewa warrant ktk bidhaa unazokua umenunua hapa tz, unakuta gadget inauzwa duka la kawaida tu kule kariakoo au posta alafu muuzaj anakwambia hii kitu ina warrant?? na...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
nikitambua jf ilivyo jungu kuu, naombeni msaada niweze kurudisha contacts zangu.hii ni baada ya kufanya hardreset na mtu ambaye nilikuwa nimemuachia. help pls.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom