Habari zenu wataalamu wa Computer na IT. Nina hitaji msaada wa haraka sana, mtu ambaye andhani ni expert na amebobea kwenye fani hizi ani PM kwa maelezo zaidi. Hakika shida yangu akiifanikisha...
Nina laptop yangu aina ya samsung, tatizo hii laptop ukiwa unatumia bila kuconnect kwenye umeme halafu ikakata chaj ukija kuiwasha haiwaki kabisa, inaaanza kama inawaka then inablink tu. Hapo hadi...
Habari
wanajamvi,
Nahitaji program ya Testout kwa ajiri ya cisco i.e CCNA 640-802 bure au kwa kulipia no problem cha muhimu iwe inafanya kazi.Kama kuna mtu anayo tuwasiliane
Natanguliza shukurani...
Kutwa utasikia sijui Samsung kamshitaki Apple kwa kuiba idea yao ya kamera mara umbo nk nk
Lakini kuna hizi kampuni zinatengeneza Samsung fake, kwanini hazikamatwi? Hata kama ni za uchochoroni...
I know everybody here is using Google as a search engine. I agree, Google is popular, but I think Bing is better,, Just try to search something , one same thing using both of them n the results...
Nifanyaje kuformat memory card ambayo nikiformat kwenye pc nikaiweka kwenye cm tena inarud vlvl yaan kama haijaformatiwa.
Nimekua nikirudia hl zoez lakin wap?
Msaaada plzzzzz
Wakuu kuna kuyumba fulani hivi kwa sauti hasa unaposikiliza kwa makini muziki/wimbo.Yaani sauti inakuwa inashake fulani hivi kama betri zimechoka vile! Usiposikiliza kwa makini huwezi kugundua ila...
Msaaada!! Mwenye charger adapter ya laptop aina ya belnea o book 1301, naomba aniuzie au anijulishe ni wapi nawezakupata hiyo adapter....natanguliza shukrani nyingi sana
Kuna siku niliona mtu kapost kuhusiana na e-bay na kuna watu walikua wanahofu nauoga balaaa sasa kipindi hicho mimi nilikua nimeagiza smart tv kwa $ 700 na nilifanya hivyo baada ya kufanya utafiti...
wakuu,
naona shimo limetema. sasa bbm inapatikana kwa android, naskia kwenye play store wameshaiweka(non-samsung android phones), ila mimi nimeipata kwa kufungua native browser nakuandika: BBM...
Natanguliza shukrani kwenu.
Wadau naomba msaada wa jinsi ya ku-unlock simu tajwa hapo juu, ni simu niliyotumiwa toka nje ya nchi sasa kwa huku haikubali laini yoyote. Inatumia Android version 4.0.3.
I know this is rather awkward, hapa mnaexpect either niwaulize swali ama nijibu, bt today I decided to break off,, Nalala leo mapema(huwa nalala huko ma saa sita),, hivo basi nawawish wote...
1. Go to setting> security> unknown sources to mark
2. Go to appdroid.ws/appdroid_for_android and download Appdroid application and install
3. Launch Appdroid and search any Android Apllication...
nadevelop theme kwa ajili ya website yangu. theme ni responsive ila ikiwa in mobile mode menu haitokei. wataalamu hebu mnisaidie. natanguliza shukrani
cc Young Master, stefano mtangoo, Kang...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.