Jamani wadau nimepata kimeo mtaani ni HTC T8788 windows phone 7 .sasa shida iliyonipa pressure ni baada ya kuitumia siku mbili ikiwa safi kabisa lakini leo asubuhi wakati wa kuiwasha nakuta...
Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili .tafadhali naomba msaada kuhusu hili;natumia idm kudownload movie na video ila siku za hv karibun imekua inanizingua inadownload video ila haitoi sauti naomba...
WASICHANA wanne kutoka Nigeria wamegundua jinsi ambacyo mkojo unaweza kutumika kama mafuta ya kusukuma jenereta. Wasichana hao, Duro-Aina Adebola,Akindele Abiola, Faleke Oluwatoyin na Bello...
ukifungua vodacom USSD *149*01#
utakutana na second line
(kwa rafiki yako)
hivyo bac kwa wale BINGWA WA KUKOPA na KUTOLIPA,
waweza kujiunga CHEKA yoyote bila kulipa Deni,
kwa kupitia sim card...
Hallo wana-JF
Kuna jamaa kanimwagia sifa kibao/kedekede za "Xmaster G8"
Na kunambia kuwa huu Mzigo Is Far better than G6 Azsky. Akaenda MBele zaidi kuwa unaeza angalia. Zaidi ya 24hrs bila ya...
naomba msaada kwa mwenye ujuz,whatsapp yangu inagoma kudownlod pic,vdeo pia hata kutuma haitak,nimejaribu ku uninstall nilipoingia playstore nilipotaka kuichukua watsapp tena ikaniandikia device...
now tuko Team members 3
RedSilverDog Team Leadser
X-paster member
Issam Member
Mtazamaji Member
Kwa wale ambao wametolewa wanaweza akuendelea kuwa contributors . Tulikubaliana...
Reset data like before
*#*#7780#*#*
Format Phone
*2767*3855#
Information about phone and batteries
*#*#4636#*#*
Launch service mode
*#*#197328640#*#*
Test WiFi
*#*#232339#*#*
Log mode...
Habari za kwenu wanaJF,
Naomba mnisaidia kutatua hili tatizo. Nina laptop ya dell xps 15z. Toka niinunue inafanya kazi vizuri sana.. nimeshakaa nayo zaidi ya mwaka sasa.
Mwezi uliopita niliweka...
Je huwa unafanyaje wewe kuhakikisha haupitwi na post mpya katika Jukwaa lako pendwa mfano JF Tech? au blog uipendayo. Hata kama hujatembelea hilo jukwaa/blog kwa muda mrefu.
Mimi huwa natumia hii...
Apple trotted out its fifth-generation iPad today in San Francisco at the company's annual unveiling event. This model, which is now called the iPad Air, is "thinner, lighter, and more powerful...
Wanajamii wenzangu naomba kamakunamtu anajua software ya ku unlock sim network huawei u8650sonic inatumia line ya tigo tu ukiweka line nyingine inakwambia weka unlock pin naombeni Masada wenu aksanten
laptop yangu ni toshiba.ina window 7 tatizo inakataa games zote za kudownload kila nikidownload games inakubali vizur ila kuplay inakataa ikiandika 'close progm'/window find soln.please...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.