Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau ,nam nmeingia kwny android tajwa. tatzo n kuwa sijui kutumia apps nying,MF.nltaka kutumia Instagram, ,sim ikaniambia niende play store nikai-update ila nikitaka kuingia play store sim...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Help please!Where can I download a dictionary whose words are transcribed phonetically either offline or online with Nokia Asha 210 dual SIM?
0 Reactions
0 Replies
681 Views
wakuu kwanza kabla ya yote nilikuwa naomba nitangulize shukrani zangu kwa member woote mliofanikisha kunisaidia kupata softwere ya #ALLDATA hasa shukrani zangu kwa mkuu Chipukizi. shukrani zangu...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Waungwana nashida nataka ni install microsoft office kwenye computer mtanisaidiaje?
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Jamani naomba kwa anaejua modem sharing. Kwani katika pitapita yangu kwenye mtandao nilikutana na hii kitu, na wanasema ni kutumia modem mbili katika PC moja ili kuongeza speed ya internet. Lakini...
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Mabundi wenzangu mpo? Najaribu kuweka wajanja night hapa naambiwa sina salio la kutosha wakati nina buku na chenji juu!!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KAMA UNAHITAJI SUBTITLE SEARCH HAPA IWE YA MOVIE AU MUSIC JARIBU KUWEKA DETAIL ZOTE ZA HIYO MOVIE AU MUSIC KWENYE SEARCH BAR;; LINK HII Subscene - Passionate about good subtitles
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Kutokana na kuitoa application bora kabisa ya kujivunia BBM ya BURE ndani ya android na apple store,blackberry Rim Company yahofiwa ITAFILISIKA kabisa. Sababu kuu ni jinsi gani blackberry...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau wa Jukwaa la Teknolojia. Nawaomba mnisaidie jinsi ya kusave number za contacts za simu kwenye web kama google... Nimesikia kuwa ukisevu huko hata ukipoteza line au simu utapata contact...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wenye magari, Nafanya installation ya GPS devices kwa bei nafuu. ambayo yenye uwezo wa ku control gari yako kwa kutumia simu yako ya mkononi kama kuwasha, kutia lock, kuzima na kumonitor...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kichwa hapo juu knahusika. Bajeti ni 500,000.nahtaji laptonga mpya(iwe na guarantee) na digtal camera hata used yenye megapixel kuanzia 8. Weka kila kitu hapa jamvin ikiwemo picha. Pm sitoconsider...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
1. Sir Tim Berners-LeePerhaps the most famous inventor not to earn cash from an invention that fundamentally changed how we see the world is Sir Tim Berners-Lee - inventor of the World Wide Web...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi, Unapata any IT/Software/Project (iwe za chuo au Personal) au any matters related to Technology...no need to panic...jusT Create a ticket here http://www.eightgigconsulting.com/support/ and...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Samsung galaxy pocket white n black 170000 each, samsung galaxy s1 230000, iphone 4 360000, iphone 5 700000, nokia n900 230000 , htc desire 250000 chek. Me thru 0719004668
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Nani mwenye uzoefu na simu tajwa hapo juu na application zilizopo kwenye hiyo kwa mafano: 1.Iko faster namna gani kwenye ku-access Internet? 2.Application gani unaweza iongeza ama ipo ambayo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
:help: ndugu wadau....samahani! nnatafuta equalizer za kenwood(220 ac volts) au sony 110ac volts) kwa mwenye nazo, na anauza anijuze offer yake! :help: :help:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wataalam,hii niliiijaribu mwenyewe na imekubali vizuri,hiyo c band ni ipo ARABSAT 5C @20'E,na ku band ipo SES 5 @ 5'E.katika hiyo ku band,congo tv naipata kwa signal ya 78%,na na katika hiyo c...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
msaada wakuu mimi natumia modem ya CDMA na ninahitaji kutumia TunnelGuru na hii modem yangu, tafadhal anayeweza naomba anisaidie jinsi ya kuiconfigure(kuiseti) ili niweze kuitumia kwa sababu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF ,habari za leo naomba msaada nategemea kwenda site ambapo umeme ni shida hvyo naombeni ushauri simu ipi ninunue ambayo inatunza chaji zaidi kati ya nokia 105 AU1280 AU vile vi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom