nitafanya nini ili betri ya laptop yangu idumu maana wako waliosema kuwa kila nitumiapo nikonect na power na wengine wanasema ikijaa nidisconnect msaada jamani niliko huku betri ikisumbua ni...
Hii ni offer ya mwisho wa mwaka ikiwa imebaki miezi michache kumaliza mwaka basi nakaribisha matangazo yoyte katika web yangu na nitayaweka bure kwa wadau wenzangu wa jf...kwani nakumbuka nyie...
Habarini wakuuu naomba msaaada maaana kila ninapowasha simu yangu ya Android zikipita dk 5 napata ujumbe huu "unfortunately google play store has stopped working" nimejaribu njia tofauti za...
Eti inakuaje ukapata phonebook ya mtu mwingine kwenye simu yako....mfano mimi nina simu samsung s3..then mchumba ana BB.....mara tu unaona kwa contact zangu yaan kwenye simu yangu samsung zipo pia...
Ma guru wa teknolojia. touch sensor imestuck since juzi nimepeleka kwa fund kasema hana hyo sensor. wapi naweza pata hyo kitu au natatuaje hili tatizo. ahsante nazitoa tayari na ntaongeza nyingne...
Habari wadau. Nina Pc yng mpya, nimeanza kwa kuinstall windows 8 lakini nimeona hainifai kwani ni trial nimeamua kutaka kuitoa na kuweka version ya chini ya windows yaani 7 au Xp. Kila nikiboot...
Wandugu...leo nime uninstall YouTube application kwenye simu yangu..sababu ilikuwa inaleta tabu..sasa kazi ipo kwenye kuiweka tena ndipo inapoleta tabu..nimejaribu nimeshindwa..kwa hiyo naomba...
Mauzo yameporomoka sana na soko kudorola
During Apple's fiscal third quarter, which ended in June, iPad sales fell to $6.3 billion -- a 27% drop over last year.But this year, Apple didn't...
With the technology evolving faster, a gadget you might be owing today would be a thing of the past tomorrow. Which was the first hand held gadget you first laid your eyes on? As for me, It was my...
Wakuu kwa mwenye nokia yenye hii feature naomba feedbak kama inabadili chochote wakati wa mazungumzo endapo itakuwa activated cuz kwny cm yang bado cjaona utendaj kaz wake
Wakubwa htc yangu "s610d" inachukua muda mrefu sana kuload hasa napohama kutoka kwenye activity yoyote kwenda homescreen.....huwa inaandika "loading" kwa kama sekunde 30 then ndio inafunguka...
Habari wana jamii ,naomba msaada wenu nimenunua kasamsung toch vile vya tsh 40000 .sikuwah kabisa ku2mia samsung 4n before hvyo kuna vi2 vigeni nimekumbana navyo kama vle fake call,4n tracker hiv...
On the lookout for a new smartphone
We've all been there. That glorious time when we're out on the market, looking for a flashy, new smartphone to replace our hugely outdated device. It's a...
Habari wakuu!
Huwa natumia aina ya simu tajwa hapo juu kuweka maoni yangu juu ya mada mbalimbali hapa JF. Tatizo ni kwamba, nikiandika ujumbe kidogo tu simu huwa inaniambia 'memory full' na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.