Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani mwenye kujua jina la huu wimbo au kama unao unaweza kunitupia hapa,umeimbwa na mkenya. Lyrics zake ni hivi! Nilikuwa na mpenzi wangu, Tulipendana Kama nyama Choma, alibahatika kwenda...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hi the JF FAMILY. Napata emails nyingi nisizozitaka kwenye inbox yangu, mathalani emails kutoka tradecarview sasa nataka kuzuia emails hizo zisije unless nimefanya mawasiliano nao na wanatakiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa watanzania waliotengeneza apps na kuzitupa kwenye iOS na Android market au walioshindwa kuziweka huko ila wana installation files watutupie basi tuweze kuona wabongo wako wapi kwenye software...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wana jf nielewesheni kuhusu hii simu aina ya coolpad inatumia line 2 nataka kuinunua kwa sh laki 3. Jee kutokana na bei hyo hapo vp inalIpa? maana isijekuwa ni mchinaa!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wana jukwaa hina simu mpya kabisa ya Samsung galaxy s3 ila inanatizo la kuto kiview picture muda mfupi baada ya kupiga .nimejaribu kutembelea kwenye tovuti mbalimbali ila nimeona hakuna jibu la...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Habari zenu wataalamu katika teknolojia. Nilikuwa natumia browser ya opera kwa muda mrefu na nimeizoea sana. Browser hii iwapo maandishi ni madogo na wataka kuyakuza, unaslide kislider fulani hivi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimebadilisha window frm win8 2 win8 bt pci simple communications controller are mcng na nikconect modem haidetect.
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Habari zenu wakuu!!!!!! naomba msaad, simu yang niki share INTERNET toka kwenye laptop(window 7) inasoma lakin kila nikifungua internet kwenye simu, ina andika DNS FAILED, kwana tatizo ni nini...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
WebcamMax 7.7.8.8 Full Version | 25.43 MB Version: 7.7.8.8 Size: 25.2 MB Date: Oct 10, 2013 Platform: Windows 2000/XP/Vista/7 (32-bit and 64-bit) WebCamMax – advanced utility to work with a...
1 Reactions
5 Replies
873 Views
Jamani naomba mwenye kujua anisaidie natumi laini ya airtel
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Wadau nina simu aina ya itel ina android nataka kutumia intrrnet kupitia line ya tigo naomba mnisaidie kujaza maelezo yafuatayo: Name. APN. Proxy. Port. Username. Password. Server. Mmsc. MNC...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Wakuu habari za maisha ya kileo? Nimepata pc aina ya hp,sasa nashindwa kusikiliza nyimbo toka kwenye pc live,nikibahatisha wimbo unacheza kwa kukatikakatika! Hivyo wenye maujanja ya kitu hicho...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Habari wakuu? kama title inavyojieleza, naombeni mchango wenu nini nifanye hapa. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu msaada, wenu mana nashndwa kabisa ku activate/crack KAV 2013
0 Reactions
0 Replies
754 Views
jamani wakuu, me huwa cjui nawaza kizembe et najiuliza, hv baadhi ya vitu kama _-pesa ma T-pesa na ma airtym money, zingekuwa ulaya, kwa hawa ma Hacker na ma cyber ingekuwaje?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu msaada kuflash modem aina huawei e153,nimetumia huawei unlocker na dc unlocker,ila cjafanikiwa..cjui ntumie software gan wadau!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamany mwenye kujua jinsi ya kudownload youtube videos kwny cm ya blackberry ,,, anielekeze plz.. Maana daah naishia kuwatch tu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeona mara nyingi,maDj,watengeneza/watayarishaji wa filamu,muziki,watu wa graphics,wachoraji ,kwenye studio za picha n.k wanatumia sana MacBook ,huwa najiuliza zina kitu gani cha zaidi ambazo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimetoka nayo safari bush... Usiku wake nilikuwa naitumia. Nikaamka nikaiweka kwa bag tayari kwa safari. Nimefika nyumbani..haiwaki kabisaa!! Ni dell vostro. Nnayo kwa mwezi wa tatu sasa...
0 Reactions
4 Replies
881 Views
simu yangu ni samsung galaxy min gt s5570....... imejaa sms sasa nimedelete zile threads zote za conversation and still inaonesha message memory full.... pliz wadau nielekezeni jinsi ya kufanya...
0 Reactions
3 Replies
737 Views
Back
Top Bottom