Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Around my place there is this wifi hotspot which is password protected.I want to benefit from it without prior knowledge of the owner. Any ideas on how i can go about it please?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ubuntu ni nzuri,na uzuri wake computer yako haiwezi kupata virus. But ina limitations sana kwenye kudownload,kila ukitaka kitu lazima iwe kwenye "ubuntu software center".Na hapo vile vya maana...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Msaada wakuu. Natanguliza Shukrani
0 Reactions
11 Replies
8K Views
wakuu, nimepoteza simu ya samsung galaxy s advance gt-i9070p, nahisi imeibiwa wakati napanda daladala, je? naweza kuitrack hata kama mwizi akifanikiwa kuiunlock? au kuset hard reset?, maana hata...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Wadau habarini za jioni..?? Kwanza poleni na majukumu ya kutwa nzima ya Leo. Mm c mwenyeji katika jukwaa hili lakini naomba msaada wenu. nikuhusu DSTV INSTALLATION, Nilikuwa nikitumia kabla...
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Habari za usiku wadau... Jamani nimelipia kifurushi cha DSTV .... Cha ajabu sipati local channels, nikiangalia kwenye Channel grid hata namba za local channels hazipo mf. 291 (Star TV), 290...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nina Galaxy Duos GT S 7562 ina 3G ila play store inahtaj Wi-Fi ndo ifungue, pia WhatsApp inagoma kudownload naomba suluhu la haya matatizo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
eti wakuu hamna hata mmoja humu ndani aliehusika kudevelop ile system coz ipo cool kinoma inavyofanja kazi na vile hardware nyingine kama camera,barcode scanner,fingrprint etc naomba kujuzwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimedownload VLB Beta ila nilipoifungua inanipa warning ambayo ikanifanya nisite kuitumia. Kujaribu VLC nyingine ikanipa same warning, na warning zenyewe ni *This version is not stable *Do not...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Smelling Storms? Human Supersenses May Become a Reality...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Wadau wa jf nina Nokia x2-00 rakini kwenye chat ya sms imekuwa haifunguki kwa hiyo nilikuwa nahitaji msaada wenu
0 Reactions
4 Replies
837 Views
Nana nokia lumia 520 kila nikijaribu kuweka on internet sharing inagoma, naombeni msaada.nina hitaji kushare na pc
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtandao wa google umeongeza Sheria na Masharti, ambayo yataanza kutumika mnamo 11 Novemba 2013. Soma hapa chini. Taarifa mpya kuhusu Sheria na Masharti 11 Oktoba 2013 Tunaongeza mapya kwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unatumia simu yenye android na hujui jinsi gani unaweza ku-upgrade simu yako basi soma hapa na utaelewa vitu karibu vyote na njia gani utaweza kufanya software upgrade ya simu yako. Simu...
1 Reactions
14 Replies
10K Views
Wakuu hivi zile brick game bado zipo? Aisee nakumbuka brick game was my first console (if I may call it a console) before family game, polystation etc. Kwa kweli nilikua napenda sana kupanga mazes...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Katika eneo nililopo mtandao wa airtel tu ndio unaokamata 3g,lakini kuna rafiki yangu alikuwa anatumia huawei, alikuwa na uwezo wa kukamata 3g ya voda.nikajua itakuwa ni simu. Sasa hivi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakubwa naomba msaada . nimedownload ENCARTA PREMIUM 2009 ya DJ Alex Larieta. Baaba ya kumaliza imeniomba key ili ifunguke. Key sina tafadhali naomba msaada.
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Naomba kujua namna ya ku-restore simu yangu na ikiwa kama ilivyotoka kiwandani.asanteni wadau
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Mimi na cmu aina ya nokia N97 sasa kila nikifungua Adobe pdf inaniambia licence adobe Rider expired naombeni msaada jf nakosa vitu vingi vya kujisomea
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Back
Top Bottom