Nimejaribu kupitia jinsi ya kutumia keyword for lakin sijaielewa! Naombeni mnisaidie hiyo keyword for inatumika vipi na kwenye hiyo program ya kucheck prime number imetumikaje! Msaada wenu...
TANZANIA ni moja ya nchi zilizojaliwa kuwa na rasilimali nyingi zinazopatikana katika maeneo mbalimbali, rasilimali hizo ni pamoja na madini ya aina mbalimbali kama vile almasi, dhahabu...
Wakuu heshima kwenu..!
Ninaomba msaada jinsi ya ku update au kuongeza channel kupitia receiver ya dish ( sijui wenyewe mwaita dish setallite ama ungo) kwa sasa inaonyesha channel 10 tu, local...
za mida hii wakuu samahanini jamani nlikua naomba mwenye driver za hp simple pass identity protection kwa ajili ya kulog in kwa kutumia finger print kwenye hp pro book 4340s anisaidie.
Wadau wa jukwaa hili naomba maelekezo jinsi ya Ku upgrade hiyo simu kutoka 2.3.1 Android kwenda 4.04 na kuendelea kwenye Android.
Natanguliza Shukrani!
Habari...!
ndugu wanajukwaa hili nina tatizo kwenye simu yangu aina ya nokia lumia 510, tatizo lenyewe ni kwamba huwa nashindwa kutumia huduma kama vile m pesa au tigo pesa,kujiung vifurushi vya...
Sign up for Copy and get 20 GB free online storage, follow the link below to sign up and download the desktop software
https://next-d.copy.com?r=wWAMtC
Habari zenu wakuu...
Nimetafuta sana housing ya LG-C710h katika maduka mbalimbali sijafanikiwa kuipata,kwa anayefahamu sehemu ninapoweza kuipata/anayeuza tafadhali naomba anisaidie.
Naombeni msaada kuondoa tatizo hili kwenye simu yangu ukiweka line unaweza kuuliza salio lakini huwezi kupiga wala kupigiwa mwenye ujuzi wa hili anisaidie
The removal of a search privacy setting will prevent Facebook users from controlling who is able to search them on the site.
Facebook is getting rid of a privacy feature that let users limit who...
Nimenunua pc nimeikuta na window 7 home primium sasa mm inanizingua vitu vingi vinagoma kmvl games kisa no directx na video memory ndogo, sijui video card na driver zake zinazingua afu hakuna...
Habari za kazi ndugu zangu.Nina Nokia Asha 300 lakini tatizo lake ni kwamba touch screen is not responding na nashindwa kuswipe ili niunlock.Hivyo nashindwa kuitumia simu.
Naomba msaada kwa...
OCT
10
Samsung Galaxy Round Inavyofanana na Note 3
Leo Samsung wanaingiza madukani simu yao ya kwanza ya skrini iliyopinda kwa mtindo wa mbonyeo kutoka upande mmoja kwenda mwengine, ingawa...
Wana JF heshima yenu.
Nina simu yangu aina ya nokia asha 202 sina hata mwaka tangu nimeinunua,nimekuwa nikii-update mara kadhaa na kudownload applications kadhaa na kutumia mfano browsers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.