Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa kwel ckutegemea kabsa kwa watu makini kama hawa kutembelewa na hackerz ata siku moja for more inf' click here
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Zippyshare.com - VEVO 1.15 apkguru.com.apk
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba msaada jinsi ya kupata hii software.
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Wanajamvi naombeni msaada wa bei ya huawei ascend y300, na ubora wake
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Haya mwenye ujuz au plogram ambayo itawezesha android kutumika kama moderm au samsung yangu kuitumia kama mederm ya pc mf kama ilivyo NOKIA PC SUITE
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba mwenye uelewa anielekeze jinsi navyoweza kuongeza internal memory kwenye simu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Microsoft Office Boy A jobless man applied for the position of "office boy" at Microsoft. The HR manager interviewed him then watched him cleaning the floor as a test. "You are employed." He...
1 Reactions
4 Replies
980 Views
Wadau naomba mnisaidie wapi naweza kupata training ya ERP Software.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahanini wakuu kma ipo njia ya kunisaidi nitashukuru san. Nimesahau pin code za simu yangu, kwan nime jaribu kuweka 1 hadi 5 ila inagoma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Raha ya laptop nikununua unakaa nayo kwa mda then unaiuza. Nambieni mie nataka kuchukua "`Accer`" mpya dukani hivi, hizi mashine ni bora...??
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Wakuu habari?naomben msaada wenu,ninalaptop ya kampuni iyo ya packardbell...natangu niinunue nimiezi 9..haikuwah kunisumbua kabisa,ila sasa nashangaa keyboard haipigi kazi na ukigusa kwenye start...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wale watumiaji wa king'amuzi cha continenental pata taarifa kamili
2 Reactions
23 Replies
5K Views
kama swali lilivyo hapo juu kuna Tamplate kadhaa nilidownload kwa ajili ya blogu yangu lakini nimeshindwa kubadilisha rangi na baadhi ya vitu nilivyopenda kubadilisha. Mpaka sasa nipo hoi baada ya...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Jamani ushauri, what is the best wireless microphones ambazo zinaweza kutumika umbali mrefu na bado kumaintain ubora wake? With specifications please...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina samsung galaxy s4 min,ninaiuza ni original,nauza 400000, but kunaboss wangu aliitaka kwa 280000, anasema imeandikwa made by korea,ingeandikwa made by korea samsang ndo nzuri, je mwenye kujua
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni software za kuflash simu.
0 Reactions
0 Replies
561 Views
wadau naombeni msaada wa link ya ku download idm cracker, natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi wetu tunaotumia IDM(Internet Downloading Manager) tumekua tukipata tabu kwenye issue ya serial keys na kuregister. IDM crack for life imetoka. Fungua link hii hapa chini. IDM crack for...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu? mimi ni mtumiaji wa king'amuzi cha Eastv na jirani yangu anatumia cha Startimes, jana nilitaka kutizama UEFA Champions League na kwa tz channel inayorusha matangazo ya mchezo huu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom