Ndugu naombeni msaada ,mimi binafsi yangu nimekuwa nikitumia operamini kwa mda mrefu pasipo kujua kuwa kuna browerser zingne .hv leo ndo nimesikia sikia kuwa kuna nyngne pia .Je ni zipi hzo...
Ndugu washirika naomba munisaidie katika hizi receiver za wachina zinazoonesha channel za kulipia kwa bei poa ni receiver ipi inayojitahidi kuonesha vizuri bila kukatakata ovyo maana kuna zingine...
Link Hii bofya jisomee
Read more: iGyaan.in | Apple is Worlds Top Brand, Coca-Cola Left Behind http://www.igyaan.in/60979/apple-worlds-top-brand-coca-cola-left-behind/#ixzz2gO8kz3f9
Kila nikitaka ku run games na other program, Pc yangu inaniandikia VGA IS MISSING! ivyo sasa sijui tatizo ni nini pia haiwezi kubadili brightness yani inaumiza sana macho kwa mwanga mkali...
Kwayeyote anaefahamu mahali lilipo kwa hapa dar au Arusha/Moshi au Mwanza anijulishe na mwenye info zaidi kuhusiana na hizi projection lamp/bulb za tv ya Sony grand wega lcd KF-42SX300U anijulishe...
Salaam wakuu,
Mambo niaje? Aisee nilikua sijawahi kujaribu hii game ya NFS world ila leo nimeijaribu naona ni tamu sana. Ila mbona ukijaribu kuchat na mtu hareply? Anyways add me : DONCIZAR and...
Habari wakuu nataka kununua pc yenye jina hapo juu
na yenye specification zifuatazo;
RAM 4 GB/HDD 500 GB/Processor 2.4 Ghz/intel core i3
na mimi nina 600000/= je kwa bei hiyo naweza pata...
Naomba msaada wa configuration za Photocopier ya IR2545 kutumika kama scanner.Nemeweza configurations za printing lakini scanner bado sijaweza.tatizo liko kwenye kupata TWAIn application kwa ajili...
Jana Usiku tar 29 Sept kulitokea mwanga mkubwa sana angani wenye umbo la duara ulianza kidogo lakini baadae kikawa kitu kikubwa cha duara na ukawa unazunguka huku ukitembea na baada ya muda kama...
Wadau kuna shida imekua ikinitatiza kufanya window installation kwenye pc yangu aina ya compaq kwa sababu nimejaribu kuiboot kwa kuptia function key zote imekataa,kwa member yyte mwenye utaalamu...
Samsung is taking a page from Apple with the introduction of a gold version of its Galaxy S4 smartphone.
"Introducing the new #GalaxyS4 Gold Edition - for a style that's uniquely yours!" Samsung...
Pagespeed Service from Google Apply now
Google is offering Page Speed service for webmasters. You need to fill up this form and wait for a response from Google. I am not sure, if this service...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.