Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ni software gani nzuri na rahisi kuchorea ramani za nyumba? Na je kuna coz maalumu kwa ajili ya mambo ya ramani tu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani.....
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari. Wana JF naomba msaada bei ya hiyo simu kwa Maeneo ya Dar wapi nitapata kwa Bei atleast Nzuri! Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je unaweza kuelezea technology gani imetumika pamoja na stage za utengenezaji hizi picha, kama ukiweza taja na softwere
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu,napenda kuwajuza rasmi kuwa wale wasio tumia vingamuzi vya TING au Star times bali wanatumia dish ni kuwa Clouds TV wameingia kunako satelite rasmi.lakini wako WEtsal 4 kwa receiver ya MPEG...
2 Reactions
23 Replies
18K Views
Habari Wataalamu, Simu yangu ni ZTE-G S309 IMEI NO:358523039712608 Inatumia laini ya ZANTEL pekee sasa nahitaji msaada wa kuirekebisha itumie laini yoyote. Natanguliza shukrani kwa...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
habari wana jamii!! Ni muda sana nimekua navutiwa sana na haya maswala ya PROGRAMMING, na natamani sana kujifunza nami niwe programmer!!! kwa sasa nnajua kidogo sana kuhusu programming na juzi...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Kwa wale ambao wanapenda TV series zenye a lot of special effects, you might wanna see Marvel's Agents of S.H.I.E.L.D. Episode ya kwanza tayari ipo online. Kama una net ya kasi waweza iangalia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mud Volcano? Weird Island Appears After Pakistan Earthquake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Za usiku wanajamvi....natumia samsung galaxy note 10.1 inanusumbua sana....siku za nyuma nilikuwa nadownload app nyingi play store au ku-update app mbalimbali , nacheki youtube , naangalia movie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
salaam, nitawezaje ku-unlock my bb bold 9700.najaribu kutumia njia mbalimbali lakini mpaka sasa bado sijapata njia ya maana na yenye nafuu. njia nyingi nilizozitumia mwisho zinaitaji mep...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimenunua smartphone ya Sony Xperia E dual C1065 hivi karibuni. Tatizo nililo nalo ni kwamba nimeshindwa jinsi ya kujiunga (connection to mobile internet) na internet inayotumia kadi ya simu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. wana jf nakuja mbele zenu mnisaidie aina gani ya digital kamera ni nzuri kwa maana ya brand kati ya hizi hapa canon,sony na nikon ambazo nimepata kuzifahamu au nyngine yoyote. 2. Na baada ya...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Wakuu heshima yenu popote mlipo. Binasfi nahitaji msaada wenu ni wapi ntaweza kupata simu ya mkoni model X405 xtouch Sonny, kwa wakazi wa Dar au Mwanza. Kwa dar nimejitahidi kuzunguka kwenye yale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mgeni kidogo kwenye matumizi ya tablets na smart phones. Nimebahatika kupata moja na nimeona kuwa zipo apps za bure na za kulipia, mfano radio nk. Ninajua humu jamvini kuna wazoefu wa mambo...
0 Reactions
3 Replies
826 Views
wakuu. Natafuta battery ya dell inspiron Type J1KND na battery ya hp probook 4431. Naomba msaada wa kuelekezwa wapi naweza pata kwa bei nzuri. shukrani.
0 Reactions
0 Replies
767 Views
kwa wale wadau wa games nmejaribu kuinstall pes 2013 lote limekubal lakn nkitaka kufungua inaniambia insert origin disc so cielew hapo msaada tafadhal
0 Reactions
4 Replies
943 Views
kuomba msaada hasa pale unapobanwa sio ufala.haya watumiaji wa smartphones mpo?shida yangu ni maelekezo ya kuweza kuhamisha data toka ktk phone storage kwenda sd card.nazungumzia apps ambazo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada simu yangu ni nokia x2 ina tatizo la m2 akinipigia au kuni2mia sms inajizima yenyewe,ila nikipiga mm safi.msaada jamani
1 Reactions
7 Replies
967 Views
Nini inaweza kuwa tatizo nina laptop yangu nilikuwa nikitumia moderm ya Airtel kwa kipindi kirefu ila juzi ghafla ile Moderm ikagoma kufanya kufanya kazi kwenye hiyo machine ikinipa Msg ya No...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Back
Top Bottom