hawa jamaa hawatak mas'hara kwan ukimaliza kifurushi chao fasta wanaku disconnect! hawana ule mchezo wa peruzi but usidownload na kustream video au kuklimit speed kwa mda fulan kam kamtandao...
"Any Video Converter Ultimate will help you rip DVD and convert video to popular formats for iPod, PSP, mobile phones"
"Users will be able to access options such as Apple iPod / iPhone / iPad...
wanajf naomba msaada jinsi gani nitawapata marafiki zangu wanaotumia huduma hii ya watsapp maana nimehangaika mwenyewe bila mafanikio.natumia tecno p3 na) nayo huduma hii
BBM iOS and Android releases paused: staggering forward
.
SlashGear Chris Burns 4 hours ago
Though the software teams at BlackBerry suggested theyd be beginning the roll-out of BBM (BlackBerry...
Habari za week end ndugu zangu. Nilikuwa natafuta hii software na kama kuna mtu anajua ni site gani naweza kudowloand a free full version naomba anipatie anuani ya site hiyo.
asanteni
Wapendwa habarini za asubuhi
Vodacom tanzania ni mtandao nilikuwa nauamini sana, ila jana wamenialibia siku sababu wanakula ela yangu bila kusema sababu ya kula ela yangu.
Nilijaribu kuongea na...
Wakuu kuna Client wangu wa PD PROXY amepata suspension siku 5 zimepita aliniomba nimsaidie lkn kwakuwa mteja ni mali basi nikamtumia Annelyn Mure i.e Admin wa PD Proxy email kumuuliza kwa nn...
Habari wana JF. Naomba ushauri wenu nataka kununua simu nzuri kwaa jili ya internet , kudownload vitu.
je simu gani nzuri ninunue kati ya samsung galaxy na Blackberry? Pia nitajuaje kama ni...
Kuna tetesi zinaendelea mtandaoni kuwa kampuni ya nokia inatengeneza simu za android. Inasemekana tayari simu 10,000 zimetengenezwa kama prototype na zinatestiwa. Simu hizo zinatestiwa katika...
Heshima kwenu Wanajamvi!
Naomba kujuzwa vigezo vya hii simu inayoitwa Nokia Lumia 720
kuhusu bei, ubora na namna ya kuitambua kama ni original.
Naomba kuwasilisha kwenu wazoefu na hii kitu!
Computer forensics is a new and exiting field that is gaining popularity. Because of the complexity and legal boundaries,
few truly understand what skills are required to be an effective computer...
Nimefatilia sana GTA V kabla hata hawatangaza date of release. Kwa kweli nimesikitishwa sana kuona kwamba PC Gamers itabidi tusubiri sana maana kwa sasa mpango uliopo ni kwa platforms za. Xbox na...
wanajamvi....pc yangu nilikuwa naifanyia disk partition... kwa kutumia partition magic, ikadai kureboot ili changes zitake place...sasa wakati inajiweka na kujikusanya nkaona inanchelewesha...
Kuanzia mwaka 2007 iphone wanatumia google maps katika simu zao. Hivi karibuni iphone wakazindua simu yao inayoitwa iphone 5 na wakasema watatumia maps zao lakini mambo yamekua kama vichekesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.