Wadau katika kufanya setting za simu nimejikuta nimeikubalia screen reader na matokeo yake simu haifanyi kazi tena, kila unachogusa inatamka maneno ya kile ulichogusa nimejaribu kutafuta namna ya...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia watu wakitumia telegram na wanakuwa na uwezo wa kufatilia links na channels nyingi ila binafsi nashindwa.
Naombeni kueleweshwa hapa.
Nawezaje search links au...
Leo kuna Mwanamke nimekutana naye kituo cha daladala kimsingi nikatokea kuvutiwa naye pamoja na udomozege wangu nikasema leo lazima nifunguke bila ya kujali circumstances ambazo ningekutana nazo...
Habari, nina mpango wa kuanzisha podcast. Naomba ushauri wowote utakaonisaidia kufikia amza yangu hii.
Najua nahitaji vitu vya kurekodia, ni vitu gani basic natakiwa kuwa navyo na gharama zake...
Mambo vipi wakali wa hizi kazi za SEO.
Rejea title hapo juu nimekuwa nikitengeneza makala nyingi kwenye niche mbali mbali lakini imekuwa kipengele kurank #1 position pale google Yaani narank...
SΛMSUNG ni moja kati ya brand kubwa duniani katika uzalishaji na usambazaji wa vifaa vya kielektroniki.
SΛMSUNG ilianza kama duka la kuuza mbogamboga na ilianza kwa mtaji mdogo sana, ilikuwa...
Wadau naomba kuuliza juu ya ubora wa mashine za xerox kwa kazi za stationary, au ni mashine gani nyingine Bora ambayo inaprint na kutoa copy kwa rangi?
Kama bango linavyosema
Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google?
Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
Kitambo sana nimekuwa na maswali juu ya tofauti ya dc (direct current) na ac (alternate current) .
1.Mara nyingi dc ikisafir umbal hata wa mita 10 na waya mdogo haiwez kUwasha hata taa angali ac...
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya hii ishu anisaide,najua jinsi ya kudownload subtitle kupitia vlc media lakin nahitaji kuweka iwe ya moja kwa moja yaani ata nikimpa mtu mwingine au nikiangalia...
Wakuu namba kuuliza kwa budget ya yangu ya laki6 nakuendelea sumsung sani nzuri toleo jipya Bora kwa kila kitu itanibaa ni sumsung ipi?
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Uandishi ni kazi ngumu na inayochosha, uandishi unahitaji kutafiti, muda, maarifa sahihi na hata rasilimali fedha. Kutokana na sababu hizi wamiliki wengi wa blog au tovuti hujikuta wakinakili...
Bajet 320,000, hata refurbished za mtumba poa tu
HuaweiP20
HuaweiP20 lite
HuaweiP30
Nokia5.1 Plus (Nokia X5)
Nokia6.1
Nokia6.1 Plus (Nokia X6)
Nokia7.1
Nokia8 Sirocco
XiaomiMi 8 SE
XiaomiMi 9 SE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.