Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari waungwana nina blog yangu katika platform ya blogger inahusiana na michezo nahitaji app blog yenyewe hii hapa www.binruwehy.blogspot.com dm iko wazi pia mtengenezaji wangu namuomba awe na...
1 Reactions
16 Replies
707 Views
WhatsApp itaweka mabadiliko ambayo kila mtumiaji alikuwa anatamani kuona sehemu hii mpya inawekwa. Kwa kawaida WhatsApp haina sehemu ya ku-edit message baada ya kuitumia. Mtu akikosea kuituma...
5 Reactions
9 Replies
878 Views
Waheshimiwa kwa aneyefahamu haya maswala vizuri naomba kujuzwa kati ya hizo programmes tajwa hapo juu ipi ipo vizuri.. kwa upande wa kujiajiri, kuajiriwa, pesa, ipi ipo katika soko kwa sasa na...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
This is service is no more available do no bother yourself to comment on this thread FREE INTERNET TO ALL JF MEMBERS Requirements Magic SIM card (without Balance)+USB DONGLE Open VPN which...
33 Reactions
523 Replies
75K Views
Yaani huko juu namba chochote wala sehemu ya kusearch au kuona ujumbe hakuna.
0 Reactions
5 Replies
514 Views
Habari zenu, Naombeni mnisaidie kutatua hili tatizo la whatsap yangu kila nikijiunga wanasema wameiblock nikajaribu kuingia ukurasa wao wa msaada wakanitumia ujumbe kwamba account yangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
2 Reactions
15 Replies
979 Views
Naenda moja kwa moja kwenye mada.Nilikuwa ni mhanga wa bondo la internet kuisha haraka sana hadi nikawa nalaumu kuwa mitandao ya simu ni wezi wa kutupwa.Matumizi yangu kwa siku ni ya kawaida sana...
8 Reactions
11 Replies
9K Views
Vp wadau, nani anatumia king'amuzi cha Canal+ kwa mikoa ya Pwani kama Dar, na mengine.. Wiki iliyopita nilikua kigoma nimekuta watu wamefunga hiki king'amuzi wanatazama mechi zote kwa bei nafuu...
2 Reactions
53 Replies
18K Views
Jamani king'amuzi kipya kabisa ambacho baso hakijasajiliwa cha startime huwa kinakuwa na status ipi kati ya hivi 1. Domarnt 2. Invalid 3. Inactive Msaada wenu wangwana na wajuvi wa mambo haya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa: Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo: Sasa hivi...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Startup kadhaa za Bongo katika miaka ya karibuni zilianzishwa kwa kupata funding kutoka kampuni za Venture Capital (VC) Marekani, kabla ya mfumuko wa bei (inflation) iliyotokea hivi karibuni...
2 Reactions
2 Replies
618 Views
Kumekua na maneno mengi sana kuhusu hii App haswa baada ya Zari kudai Mama Dangote aliiweka kwa simu yake ili kusoma sms za Zari. Wema Sepetu naye kashambuliwa na watu waliotumwa na mwanamke...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kila nikiingia nakutana na huu ujumbe!! Vipi tayar hacker wamefanya Yao ama
1 Reactions
7 Replies
745 Views
Naomba kuuliza. Hivi hizi simu zinazokopeshwa na tigo, zina ubora kiasi gani? Samsung a04
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Habari wanabodi, kuna maswali ningependa niyafahamu kuhusu GPS TRACKERS... 1.Je hizi google maps ili kujua mahali chomba chako kilipo? 2. Je inaweza kusoma maeneo yoyote chombo chako kilipo hata...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo. Charger yangu...
1 Reactions
10 Replies
966 Views
Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tablet yangu imezima ghafla tu haiwaki tena. Ni mpya kabisa imetumika kama wiki 2 tu. Ilizima yenyewe ikiwa katika matumizi ya kawaida na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
natafuta fundi wa lenovo yoga ipad,keyboard imecrack ili anitengenezee au abadilishe
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Happy Valentino Day to you all. Natafuta motherboard ya Star X TV inch 32. Nitaweza kupata kwa bei gani? Asante.
2 Reactions
1 Replies
703 Views
Back
Top Bottom