Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hello Geeks! Leo tuongelee huu uwanja wa tech kama kichwa kinavyoeleza. Naamini kila mmoja anajua maana ya programming.Kwamba unaandika instructions katika computer(programs) ili iweze kukupa...
6 Reactions
2 Replies
720 Views
Salaam Nimenunua simu mpya kitochi kampuni ya bontel lakini nikiweka laini inaandika emergency SIM1 and SIM 2 nifanye Nini Kwa anayejua anifahamishe
0 Reactions
8 Replies
635 Views
Kama kuna fundi naomba aje anisaidie hili tatizo Tv imegoma ghafla kutoa sauti
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Serikali inasema wao ndio hawajakamilisha document na Starlink wanasema wao kila kitu tayari wanaisubiri serikali. Kama tumesahau niwakumbushe ni serikali ndio inamiliki mkongo wa Taifa kupitia...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimepoteza password ya email, nimejaribu kutafuta nikaambiwa niweke namba ya Simu niliyoitumia kipindi nafungua email bahati mbaya namba pia nimeisahau. Naomba msaada kwa wajuzi nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani huyu nape anahisi Tanzania haipo katiba sayari hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wameumbuliwa mchana kweupe
1 Reactions
4 Replies
501 Views
Za muda huu wakuu Nimekuwa nikiona simu mpya brand Kama iPhone , mfano iPhone 8 mpya full box mtu kapewa zawadi ..nilijaribu Google naona Ni simu ya muda Sana Je Ni refurbished hizo simu au...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Masada tafadhali, natatuaje tatizo hili? Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
457 Views
Inaleta onyo kuwa memory low, msaada please
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Nini shida msaada tafadhali ni lisaa sasa
0 Reactions
4 Replies
399 Views
Nawasilisha, simu yangu inanidai kui"update" ila nimeona nipotezee kwakuwa nitakutana na vikwazo vya matangazo ya lazima ambayo yatatokana na launcher na Apps zingine ambazo zitahusishwa kwenye...
1 Reactions
5 Replies
395 Views
Uwezi kufanikisha kila kitu kwa wanadamu.kipindi toleo la simu ya apple iphoneX kwa mara ya kwanza inatambulisha mfumo mpya wa ulinzi kupitia FaceID ilishawai kushindwa. Kushindwa kwake sababu...
0 Reactions
5 Replies
458 Views
Kumekuwa na maneno mengi mitaani juu ya umeme unaozalishwa kwa nguvu ya jua watu wengi wakisema ni umeme mdogo na hautoshi.Fikra hizi si za kweli, umeme unaozaliswa na solar panels unatosha sana...
6 Reactions
10 Replies
4K Views
AVO28 Kwanza heshina ziende kwa bloggers wote wakubwa kwa wadogo ndani forum hii, nimekua nikisoma mada na comments na zimekua zikinifunza vitu vingi tu, Historia yangu katika blogging ni ndefu...
13 Reactions
198 Replies
21K Views
Naombeni msaada wa kupata key product za euro truck simulator 2
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Huko nyuma kupata blue tick ilikua ni ishu, lazima uwe maarufu sana ama uwe na followers wa kutosha ana kiongozi wa siasa ndio ulikua unapata blue tick. Kipindi hicho kupata blue tick ilihitajika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kheri ya Mwaka Mpya Wakuu , Samahani Nahitaji Msaada kama Kuna namna Ya Kuirudisha Tena WhatsApp Hewani Ya Namba Ambayo imepigwa Permanent Ban WhatsApp . Kama kuna Mtu Anaweza Naomba Msaada Wake...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Angalia comparison hapo kati ya Google pixel 6 vs Infinix Zero X Pro Google pixel 6 vs Infinix Zero X Pro
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom